Mbona hakuna 5 star player yeyote hapo ndani?! au ni yupi unamaanisha?
Hahahahahaaaaaaa......... Unamtafuta manda Ubaya sasa....
Mbona hakuna 5 star player yeyote hapo ndani?! au ni yupi unamaanisha?
Umeona ehhh! hahaha! naona zile tatu za last wiki zinamlevya bado....Hahahahahaaaaaaa......... Unamtafuta manda Ubaya sasa....
Tht Makonde who fired the second one last wiki...
Umeona ehhh! hahaha! naona zile tatu za last wiki zinamlevya bado....
Peasant
Unadhan 5* players n lazima wawe pensionars kama wenu wale wa darajan?
Sikiliza ndugu yangu, tukiacha ushabiki na kuwa realistic, hakuna 5 five star players kwenye ligi ya England. Walikuwepo zamani, na wote walikuwa mabeki. Hii ligi ni nzuri kwa ushindani lakini sio skills, tulionao ni wengi wao ni potential 5 stars na sio established 5 stars. Kama utamwita Nani 5 stars, then hii ligi itakuwa nao at least 30 5 star players, wakati ki-ukweli duniani kwa sasa hivi wako kama 10 tu (naongelea active players)!
Hii mech inafaa uangalie ukiwa umelewa kdg.
Karibu mojito, and cheers for the wkd!