Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Mwenye taarifa ya kwanini jana Tony Martial hakuwepo jamani? Hata benchi.
Simeon ni bora kuliko giggsKinachoumiza katika usajili tutaanza taka machezaji mazee yanakuja zingua...wakati kuna watoto wazuri tu wakupeleka sehemu nzuri...
all in all Mourinho out Giggs in..
Ni kweli mkuu ila Giggs anaweza fanya vizuri sababu anaijua vizuri zaidi Man united nje ndaniSimeon ni bora kuliko giggs
Kuijua timu na kufundisha ni vitu 2 tofauti Giggs alipaswa atafute timu ndogo aanze kufundisha ili apate uzoefu.Pep,Zidane wote walianza kufundisha timu za vijana kwanza na walipewa timu zikiwa hazina hali mbaya ukilinganisha na Manchester United ilivyo sasaNi kweli mkuu ila Giggs anaweza fanya vizuri sababu anaijua vizuri zaidi Man united nje ndani
Ni kweli tunahitaji mtu wa kuamsha amsha kama diego pia jamaa anaweza kudevelop capacity za playersKuijua timu na kufundisha ni vitu 2 tofauti Giggs alipaswa atafute timu ndogo aanze kufundisha ili apate uzoefu.Pep,Zidane wote walianza kufundisha timu za vijana kwanza na walipewa timu zikiwa hazina hali mbaya ukilinganisha na Manchester United ilivyo sasa
Sikatai mkuu ila anaweza tengeneza mentality ya timu tukaenda vizuri tu...ila simeone alitakiwa awepo pale basi tu deals nyingine mashabiki tunaziona kuliko kina Glazzers waleKuijua timu na kufundisha ni vitu 2 tofauti Giggs alipaswa atafute timu ndogo aanze kufundisha ili apate uzoefu.Pep,Zidane wote walianza kufundisha timu za vijana kwanza na walipewa timu zikiwa hazina hali mbaya ukilinganisha na Manchester United ilivyo sasa
Man city ni timu ambayo haina hata legend wa kujivunia mpaka sasaTatizo uongeaji wenu wakijinga. Barca na madrid hazina mashabiki? Hapa bongo Yanga haina mashabiki?
David GillKwenye usajili huwa namkumbuka sana yule jamaa alietimkia fa
Enzi ya fergie kila alichotaka alipewa
Maneno ya mkosaji. Leo China ni nchi kubwa et kwa vile Ufaransa ndo ilianza mchina hana cha kujivunia?Man city ni timu ambayo haina hata legend wa kujivunia mpaka sasa
hayo magoli yanatusaidia nini wakati vs burnley utumbo vs leicister city uharoTottenham wamefunga magoli 92 katika Premier League mwaka 2017, City wanaongoza kwa kufunga magoli 101, wanafuatia United waliofunga magoli 95.
Halafu mtu anakwambia mourinho aondoke hizo goli kwa foward yetu ile ya kukosakosa magoli bado tupo tatu bora.
kama anasingizia enndeleeni kumtegemea smalling na jones wawape kombe wakati wenzenu man city,psa na barcelona wanatumia pesa nyinyi mnaleta siasa kwenye mpira wa sasahiviMourinho-we haven't spent enough huyu jamaa kanishangaza saizi anasingia eti hajatumia mahela ya kutosha ndo mana timu bado mbovu
Tevez?Man city ni timu ambayo haina hata legend wa kujivunia mpaka sasa
Akili yako ndogo ngoja tukuache takwimu zinatoa uelekeo wa kocha kwa nini pochetino hafukuzwi spurs wewe wakat habeb makombe?Kumbe huo ndyo ubingwa?
Mbona alipokuwa anashinda goli nne hamkuzikataa kama magoli hayasaidii? Kuna muda muwe mnaangalia na timu ukuaji wake sio kufikiria vikubwa wakat uwezo huna mourinho analalamikiwa kupak bus lakim chek hizo goli hata hilo mmeshindwa kuligundua kuponda kumewajaa rohonihayo magoli yanatusaidia nini wakati vs burnley utumbo vs leicister city uharo
yaan dakika za mwisho baada ya kukimbiza mwenge tunarudi golini na kufungwa goli la kusawazisha huyo ni kocha au mpiga ramli?
Ni kweli mkuu ila Giggs anaweza fanya vizuri sababu anaijua vizuri zaidi Man united nje ndani
Hamna mkuu anaongea ukweli kabla la ligi aliongea pia kwamba nlichotaka sicho nlichokipata ila ntafanya kazi tu najua lawama zitakuja kwangu.Mimi nahisi Mourinho anatafuta Sababu Ya Kutimkia PSG
Kuna Makocha wenye CV kubwa wamepitia Liverpool tangu Benitez alipoondoka ila hawajafanya lolote licha ya kuwa na CV nzuri kwenye football career zao..Kuna Watu Wanafurahisha Kweli!!! Eti timu apewe Giggs!!!! Hivi Watu Wanazani Zidane Kaibuka tu pale Kuwa Kocha Wa Real Madrid???
Zidane Alianza timu ya Vijana Kwa Miaka Kadhaa Mpaka Kapata Uzoefu ndiyo akakabidhiwa Senior Team.
The Same Kwa Steven Gerrard sasahivi Si Mjinga Kukubali Kufundisha Watoto Wa Shule (Academy) Kwa Sababu Kashatega Baadae Awe Full experience..
Kuvamia Ukocha Bila Ya Experience Kamuulizeni Garry Neville au Maradona kimewakuta Nini??
Waingereza si Wajinga Kiasi Hicho Wawape Timu Giggs, Lampard na Gerrard Timu Zao kwa Sababu eti Wamezichezea sana kwahiyo Wanazifahamu.

Umeongea akili sana leo, siamini kama ni wewe au kuna mtu katumia ID yako.Kuna Watu Wanafurahisha Kweli!!! Eti timu apewe Giggs!!!! Hivi Watu Wanazani Zidane Kaibuka tu pale Kuwa Kocha Wa Real Madrid???