Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu mshukuru Mou kadroo na hao watoto, wangeshinda wangekushusha hapo uende nafasi ya saba.
Hatuwezi kuwashukuru Man united kilio chetu mpigwe tu. Sisi tuna mbinu nyingi za kuingia top four na Man watamaliza nyuma ya arsenal na kocha atakuwa mwingine.
Mpira wa kuvizia ulishakwisha. Morinyo abadili mbinu, packing is outdated.
 
FB_IMG_1514352892734.jpg
 
Sasa naamini Giggs angepewa timu angeweza kuisuka vizuri tu... Naona kabisa hakuna morali kwenye timu wanacheza kama wamelazimishwa kama vile wana mgomo barid inaonyesha kuna wachezaji pale hawazikubal mbinu za kocha.... JM msimu ujao anakazi kubwa sana
 
Timu imecheza vizur sana jana hatukuwa na bahat tu shaw ni class naona karud kwenye form safi sana rashford bado kapoteza form rojo hafai hata kukaa benchi toka arud majeruh yupo hovyo sana

Zlatan hana nafas nilipomuona nkajua hapa kuna suluhu au kichapo kuna mpira lukaku alitoa kross nzur pa kumuachia rashford apige kichwa akaruka kumfuu hatar sana pas ikaharibika young arud 11 yake upande ule wacheze na shaw wapishane walikuwa vizur sana hawa bailly na smalling au jones ila nampenda sana smalling huwa anapanda kushambulia mipira ya juu all in all tumejitahid burnley wagumu sana upande wa kulia young alijitahid ila valencia nafas yake ile.

Mourinho mwakan atasikilizwa pale anapohitaj watu wake ed ni muda wa kuangalia na uwanjan asijikite kibiashara tu.
 
Tottenham wamefunga magoli 92 katika Premier League mwaka 2017, City wanaongoza kwa kufunga magoli 101, wanafuatia United waliofunga magoli 95.


Halafu mtu anakwambia mourinho aondoke hizo goli kwa foward yetu ile ya kukosakosa magoli bado tupo tatu bora.
 
Acheni masihara mourinho anapiga kazi apewe tu wachezaj anaowataka Ed aache kuangalia biashara tu aangalie na uwanjani bila iwanjan brand ya man haipo
 
Tottenham wamefunga magoli 92 katika Premier League mwaka 2017, City wanaongoza kwa kufunga magoli 101, wanafuatia United waliofunga magoli 95.


Halafu mtu anakwambia mourinho aondoke hizo goli kwa foward yetu ile ya kukosakosa magoli bado tupo tatu bora.
Timu ipo sawa sana ile ila tunaangushwa tu na utoto mwingi pale mbele na wings
 
Kinachoumiza katika usajili tutaanza taka machezaji mazee yanakuja zingua...wakati kuna watoto wazuri tu wakupeleka sehemu nzuri...

all in all Mourinho out Giggs in..
 
Back
Top Bottom