Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hamna mkuu anaongea ukweli kabla la ligi aliongea pia kwamba nlichotaka sicho nlichokipata ila ntafanya kazi tu najua lawama zitakuja kwangu.
Bodi ya Manchester ni cancer, ila lawama anatupiwa kocha, mishabiki ya Manchester hovyo kabisa.
 
9a419adfe6a7499563d9bd4d948503f2.jpg

Msaidieni...

Cc everlenk Nzi Belo RRONDO
 
Mkuu mbona status ya juu ipo clear alisema atajaribu sio atashinda au?

Kasema we are going to try

Point Yangu nimerelate Maneno "We are much stronger"....
"The Club is Much better"... Pamoja Na Neno "£300 not enough for Man United to compete"....
 
Imekuingia kunako makalio sio?
Tatizo vitimu vyenu vinawashabik wachache tangui lini watu 20 wakazidiwa kwa nguvu na watu wa 3? hpa watz wengi ndo wanapofeli hamuangalii namba yenu na watu mnaotaka kushindana nao.
 
Facts That U Don't Know

1. Marcos Alonso(10) has scored more premier league goals than Paul Pogba(8) since the start of last season. £89M

2. Bakayako this season. 3 goals, 3 assists. POOR SEASON.
Matic this season. 0 goals, 1 assist. SEASON OF HIS LIFE.

3. Ronaldo has scored 4 league goals this season. WORLD BEST.

4. De gea has kept 2 clean sheets in his last 9 premier league appearance n conceded 9 goals in de process. BEST KEEPER IN THE WORLD.

5. Zslatan Ibrahimovic has only scored 1 goal in 9 appearance this season. THE GOD FATHER.

*HOLIC FACTS*
 
Man cty anazidi kugawa dozi sasa sisi wengine tuendelee kufungana wenyewe kwa wenyewe tuone mwisho wake, ili man cty akutwe msimu huu lazima itokee timu nyingie miongoni mwa timu za top 4aanze kuwadunda wengine wote kama afanyavyo cty
 
Facts That U Don't Know

1. Marcos Alonso(10) has scored more premier league goals than Paul Pogba(8) since the start of last season. £89M

Also has killed many people than entire Manchester united squad

2. Bakayako this season. 3 goals, 3 assists. POOR SEASON.
Matic this season. 0 goals, 1 assist. SEASON OF HIS LIFE.
Fellain has more goals than modric, so pipe down you daft cunt
3. Ronaldo has scored 4 league goals this season. WORLD BEST.
Ronaldo is bigger than your club, you bullshitting dickhead
4. De gea has kept 2 clean sheets in his last 9 premier league appearance n conceded 9 goals in de process. BEST KEEPER IN THE WORLD.
still above you in the table
5. Zslatan Ibrahimovic has only scored 1 goal in 9 appearance this season. THE GOD FATHER.
Has won more trophies than your club, and your club wish to be lyk him
*HOLIC FACTS*

Jesse fucking Lingard has more goals than the worlds' best Hazard. HOPE THIS WILL HELP
 
Mkuu mshukuru Mou kadroo na hao watoto, wangeshinda wangekushusha hapo uende nafasi ya saba.
Amshukuru mo KVP
Au kisa umenusurika kipondo
Mi target yangu ww na c Burnley
Curve inaanza kushuka hiyo
 
Back
Top Bottom