Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tetesi
Manchester United wamekawia kumpa Mourinho mkataba mpya wakati Man U ikishuka katika ligi. (Mirror).
 
Tetesi
Inter Milan wanataka kuchukua mchezaji wa safu ya kati wa Henrikh Mkhitaryan, 28, kwa mkopo kutoka Manchester United. (Mail on Sunday)
 
Tetesi
Arsenal wamepiga hatua mbele ya Manchester United na Chelsea katika mbio za kumpata wing'a wa Bayer Leverkusen Leon Bailey 29. (Mirror)
 
Tetesi
Arsenal wamepiga hatua mbele ya Manchester United na Chelsea katika mbio za kumpata wing'a wa Bayer Leverkusen Leon Bailey 29. (Mirror)
huyo dogo amecheza genk na samata na alipouzwa ndipo samata alipoanza kupata namba.....samata kasugua sana benchi kwa sababu ya huyu dogo pamoja na kwamba ni fowadi dogo winga
 
25593936_1974270942597311_3664467934926555593_n.jpg
 
Msimu huu mnategemea kubeba kombe gani tena ..maana mnalotogemea mmeshatolewa

Mournho mbwatukaji anamtaka na Willian, mara Hazard ..hahaha sisi mkitaka timu nzima tutawapa tu. Nyie ci mnatmbelea nyota yetu.

merry Christmass jamani.
 
UCL tumetolewa?
 
Wameleta ofa au unasoma udaku? Nyie kombe gani mnalotegemea?
 
Dah! Aisee, hata kama unachuki na Mikhi, lakini mzee acha fiksi!! Yaani Mikhi hajawahi kuwa kwenye lineup ya United iliyoshinda game hata moja?!?
1514198864360.png
Mwambie atazame hata hii moja inatosha.
 
Man United's squad is full of relatively young stars with Victor Lindelof, Romelu Lukaku, Anthony Martial, Marcus Rashford and Pogba all under the age of 24 while Jesse Lingard is only 25.

Vi toto vingi sana napo hapo
 
Back
Top Bottom