Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwako donDonald
Hivi we jamaa zinakupwaya eti
Nilimaanisha kuwa baada ya city kukusuuza timu nyingine zinazofuata kwenye fixture yako zimefunguliwa mlango na city wa kukunyoa ww
Sasa mimi na wewe tutakutana lini tena au cerebrum yako inakwambia kuwa una gemu na gunners next week
Unasema kuhusu kuongea sasa kati ya sisi na ninyi kina nani ni wazee wa kupayuka? Mnapayuka kuliko timu yoyote EPL hata ulaya nzima.Yaani mnadomeka kuliko hata mbabe city.Maneno mnayoyaongea hayaendani kabisa na uwezo wa timu yenu.Mbinu hakuna kazi tu kupaki ndinga viwanjani.
Unanambia kuhusu ubingwa sasa si ninyi ndo mnapiga sana kelele za ubingwa? Yaani makelele kuliko hata city.Litimu lenyewe linaogopaogopa tu Unaogopa wanaume?
Mnatumia mapesa mengi ambayo hayasaidii timu, bora hata city pesa waliyotumia inaonekana
Hamjakoma tu mnataka kuuza wachezaji mnunue malukaku mengine
Mtauza mpaka OT pumbav kbs!!!!!!!!!???.?!!!

sent from my xm udongo using jf app


Vipi wewe west ham kafunga milango sasa najua hayo matokeo ya 0-0 ni mazur Sana kwa arsenal tunapokwambia city katoka ki bahat tunamaanisha pale ni old traford hakuna cha milango kufunguliwa arsenal una point zangu zingine 3 pale jiandae.
 
Kama mourinho ana nia kweli ya kuchukua ubingwa aachane na lingard ...

Mchezaji Wa hovyo kuwahi kutokea united
 
Screenshot_20171214-012907.png
 
Back
Top Bottom