Tulia wwMkuu juma jux, unaonaje, huoni Mourinho anatuharibia timu yetu?
haondoki huyoManchester United wamejiandaa kusikiza maombi ya zaidi ya £20m kumuuza beki Luke Shaw ,22, mnamo mwezi January. Klabu hiyo ya Jose Mourinho itajaribu kumuuza mwaka mmoja mapema ili kumzuia kuondoka kwa kitita cha chini. (Daily Mail)
Punguza ushabiki uchwaraVipi ndugu zanguni?
Mme recover kidogo kwa yale mambo ya Morata?
Nayaona ya Pogba hapaManchester United wanataka kumuuza mchezaji wa England Luke Shaw ,22, kwa karibu pauni milioni 20 mwezi Januari. (Times - subscription required)
Tuko vyema kabisa aiseeWapendwa katika bwana, nimewamiss vibaya mno!!
Natumai mko poa sana.
Nayaona ya Pogba hapa
Kumwogopa nan tenaKwa jinsi mnavyomuogopa.
Mm sihafiki luke kuuzwa atolewe kwa mkopo itapendeza zaid yule dogo hapewi nafasi tuKwa jinsi mnavyomuogopa.