RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,749
- 129,470
Msimu huu mpaka sasa man utd kashinda mechi 8 Old Trafford wakati msimu uliopita WOTE alishinda mechi 8.sijakuelewa

Upatie pointi wapi ngoja c tupoVipi wewe west ham kafunga milango sasa najua hayo matokeo ya 0-0 ni mazur Sana kwa arsenal tunapokwambia city katoka ki bahat tunamaanisha pale ni old traford hakuna cha milango kufunguliwa arsenal una point zangu zingine 3 pale jiandae.

Ww ulimfunga slevan si MoyesMfunge west ham sasa kama nyie the gunners mpo timamu

nani kavamia thread mwingine wewe dada???..Sifa za mashabiki wa man u;
1.Hawajui mpira,wengi wao hufuata mkumbo
2.Wanaongea sana kuliko uwezo halisi wa timu yao utawasikia leo tunashinda 4g halafu wanashinda 1g au wanapata kipigo kabisa
3.Ni mabingwa wa kuvamia thread za watu hata kama wao hawana mechi halafu mambo yakiwaendea kombo huingia mitini tafikir hawapo
4.Wakifungwa mechi husingizia mchezaji fulani hayupo eg PP
5.Timu yao haijui kucheza mpira ila wanalazimisha ionekane inajua utasikia man city tuliwabana walitubahatisha magoli tuliwapa pasi sisi,mara hatutaki kuposses mpira tunacheza mpira wa mashambulizi wa fergie halafu wanaambulia shots on target 4 mechi nzima
Ushauri:Hamuwezi kupambana na city na sasa mnatakiwa kupambana ili mshiriki uefa next season![]()
![]()
![]()
![]()
I will support my striker through the bad days and good
![]()
Waambie wastahmil tu game mbili moja tumefungwa moja tumeshinda wao zote hawajafungwa nani yupo juu?Bora tumeshinda, but tunatakiwa tufunge magori mengi bana
...kuna MTU yuko mtaa wa saba.
Ulikuwa mlima mrefu sana moyes anaanza kufanya yake kwa timu hizi za viwango vya nyundo moyes huwa mtamuMfunge west ham sasa kama nyie the gunners mpo timamu
Tumeshangilia sisi inatosha yeye kazi yake iwe kuandika tu.Naona lukaku katupia ila kagoma kushangilia,tumezidi kumzodoa
Sawa mrembo..Sifa za mashabiki wa man u;
1.Hawajui mpira,wengi wao hufuata mkumbo
2.Wanaongea sana kuliko uwezo halisi wa timu yao utawasikia leo tunashinda 4g halafu wanashinda 1g au wanapata kipigo kabisa
3.Ni mabingwa wa kuvamia thread za watu hata kama wao hawana mechi halafu mambo yakiwaendea kombo huingia mitini tafikir hawapo
4.Wakifungwa mechi husingizia mchezaji fulani hayupo eg PP
5.Timu yao haijui kucheza mpira ila wanalazimisha ionekane inajua utasikia man city tuliwabana walitubahatisha magoli tuliwapa pasi sisi,mara hatutaki kuposses mpira tunacheza mpira wa mashambulizi wa fergie halafu wanaambulia shots on target 4 mechi nzima
Ushauri:Hamuwezi kupambana na city na sasa mnatakiwa kupambana ili mshiriki uefa next season![]()
![]()
![]()
![]()
Ww ulimfunga slevan si Moyes
Muulize Chelsea bado ww unayeshinda bao moja kwako
Sifa za mashabiki wa man u;