Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jose hajabadilika bado anacheza mfumo uleule tangu aanze kufundisha soka nashangaa unasema Mourinho wa Chelsea ni tofauti na huyu wa sasa
Kwaio Mourinho wa chelsea kipindi ndo anajoin hio team alikuwa ana paki basi na hakuna mashambulizi kabisa? Mourinho yule ilikuwa akikutana na timu kubwa alikuwa anatafuta droo tu hakua na attacking mind? Alikuwa akizi approach timu kubwa kwa woga? Ndivo alivokuwa vile?
 
Man utd hatutaki kucheza kama Man city, tunataka tucheze kama Man utd, ile ye Babu Fergie, Babu Fergie nae possession footbal sio style yake, yeye ni mashambulizi tu, ukipata mpira unatakiwa ufanye ufike mbele, Babu Fergie hataki kutia udi kabisa...... Na sio kwamba hawezi au hajui kuchezesha Possession anaweza vizuri sana tu, Ila shida yake ni mashambulizi. Na hata ukiikuta Man utd imecheza na Man city na kufungwa, lakini Under Fergie unajua kuwa ama timu ilizidiwa maarifa, au ilikuwa siku ya kufa nyani tu. Lakini under Jose, unapokutana na timu kubwa yoyote, basi tayari ameshaset mentality yake kuwa tuondoke na point 1 ishatosha, THIS IS NOT MAN UTD!!!
Hili ndio kosa ambalo masahabik weng wa manchester utd tunalifanya zama zimebadilika sio kila siku tutahtaj kile alichokifanya SAF bas makocha wengne nao wafanye hvyo hvyo hatutakuwa tunawatendea haki kabisa

Hata SAF alipkuja Man utd alikuta kuna kocha amabae alikuwa na falsafa yake what if nao wangetaka wacheze kama ilivyokuwa kwa kocha wa nyuma

Tuna bahat mbaya weng kizaz chetu kimeona zaid mafanikio ya SAF kuliko kocha mwengne ila ilfika kipind aliona kabisa utawala wake umefika kikomo amuachie mtu mwengne

SAF alwah kuhojiwa kama angekuwa kocha kipind hik man utd wangemvumila kwa misimu mitatu ya mwanzo bila kuwa na kombe kwa mdomo wake alisema hapana angeshafukuzwa kwa aina ya mfumo wa soka la sasa ulvyo

Wamiliki wa team mashabik wanaangalia mafanikio ya team kwa ujumla wake leo hii ucheze soka la kushambulia na bado huna kombe hata moja hakuna ambae ataoenda kuwa na kocha wa namna hyo

Mourinho ana mfumo wake na sio kwamba ulianzia man utd hapana alikuwa nao toka alipoanza kufundsha soka bas na yeye anataka kutengenza legacy yake kupitia huo mfumo kwa maana ndio ambao umekua ukimpa mafanikio siku zote
 
Halaf hili jukwa la manchester la epl au ? Fungua na lakwako la man u la uefa umekula luku...

Kwa hii post yako inaonesha wewe ni mshabiki wa vi timu vidogo inabid nikuache tu sasa sijui ile mechi iliyochezwa tareahe 10 iliyowaleta hapa sijui ilikuwa ya Uefa? Mashabik wa timu ndogo utawajua tu
 
Wakuu Mou ni kocha mzuri kulingana na historia yake ila anamapungufu mengi..Nakumbuka siku tumetangaza kumpata huyu Mou sikuwa na furaha kihivo maana nilijua kuna ladha tutaikosa sidhani kama kulikuwa na ulazima wa kupaki basi kwa city ambao walionesha kuwa na tahadhari mda mwingi....mpaka tufungwe ndo tuanze kushambulia,mimi binafsi nilipendelea zaidi aje Diego simeone wa Athletic wengi wakapinga kuwa anafika fainal ila hajawahi chukua kitu,jamaa anatengeneza sana wachezaji mentally na anacheza mchezo wa kuvutia sana tena sana...mou yeye anapandikiza wazimu wachezaji wanaenda kujitoa muhanga tukifungwa lawama tu...sikumbuki ni member gani alisema hadhani kama mou anastahili saaaana kuongezewa mkataba Man u maana inaumiza sana wakuu tumepoteza aina ya mchezo wetu na confidence yetu kabisa,,,man u sio ya kupaki bus man u ya kushambulia,man u sio wa kutegemea bahati...Mou anazingua sana man u kwa fujo za city tunaonekana sisi ni genge la wahuni fergie asingeweza kuja kufanya haya daima..
Sure mkuu...man city walitufunga ila hawakuwa strong kama walivyocheza na liverpool au chelsea,hawakutengeneza chance nyingi kama kawaida yao..nachotaka kusema ni kuwa city tulikuwa na uwezo wa kuwafunga,beki zao zilikuwa za kawaida sana.

Inaonekana Mourinho aliwaambia wachezaji wajihami tu,wasifunguke,angalia alivyompanga Martial kabla ya kufungwa alikuwa anacheza kulia,kitu ambacho kilikuwa kigumu kwa martial,na baada ya kufungwa Martial alihamia kushoto na mpira ukaanza kuchezwa hadi tukaequalize goli.

Mourinho approach zake hasa big match ni mbovu sana hata matokeo yanareflect ubovu wake..refer gemu ya liverpool,recently liver ndo timu iliyokuwa na beki mbovu,sasa kwa nini upaki basi?..

Una wachezaji kama rashford,martial,lingard,mata,mhkitaryan na bado approach ni za ajabu ajabu..naungana na kauli aliyoitoa Van gaal,kuwa united ya Mourinho inacheza mpira ambao hauvutii kabisa,hasa kwenye mechi ambazo tunataka tuonyeshe kuwa sisi ni united na tunajua soka.

Mkhitaryan anaongoza kwa assist so far msimu,ila hapa katikati alifllop,na amemdrop kwenye kikosi cha kwanza,Lukaku mechi nane kufunga goli moja,kwa nini na yeye asipewe treatment kama hii?,haiwezekani mshambuliaji uwe unachezea nafasi chache unazozipata ambazo zingeipa timu matokeo,refer kina Rvp,Rooney walivyokuwa wanatupia magoli kwenye mechi muhimu..huyu lukaku anahitaji kuwa benchi ili ajue kuwa hapa ni united na sio Everton...fecking pathetic.

Tutaendelea kupata mafanikio ya kuungaunga na tutacheza Mpira usiovutia under Jose's mourinho kama hatabadili mfumo wake..

Mimi ni Ferrenga,
Shabiki mkereketwa.
 
Kwaio Mourinho wa chelsea kipindi ndo anajoin hio team alikuwa ana paki basi na hakuna mashambulizi kabisa? Mourinho yule ilikuwa akikutana na timu kubwa alikuwa anatafuta droo tu hakua na attacking mind? Alikuwa akizi approach timu kubwa kwa woga? Ndivo alivokuwa vile?
Ndio maaana nakwambia humjui Mourinho,approach ya Mourinho kwenye big match haijawahi kubadilika.SAF aliwahi kumfunga Mourinho mora moja tu kwenye EPL na huwa anafungwa na timu ndogo kuliko timu kubwa sababu ya hiyo approach since yuko Chelsea alivyoenda Madrid akarudi Chelsea same approach.Chelsea iliitwa timu ya kupaki bus sababu ya Mourinho
 
Man utd hatutaki kucheza kama Man city, tunataka tucheze kama Man utd, ile ye Babu Fergie, Babu Fergie nae possession footbal sio style yake, yeye ni mashambulizi tu, ukipata mpira unatakiwa ufanye ufike mbele, Babu Fergie hataki kutia udi kabisa...... Na sio kwamba hawezi au hajui kuchezesha Possession anaweza vizuri sana tu, Ila shida yake ni mashambulizi. Na hata ukiikuta Man utd imecheza na Man city na kufungwa, lakini Under Fergie unajua kuwa ama timu ilizidiwa maarifa, au ilikuwa siku ya kufa nyani tu. Lakini under Jose, unapokutana na timu kubwa yoyote, basi tayari ameshaset mentality yake kuwa tuondoke na point 1 ishatosha, THIS IS NOT MAN UTD!!!

Mkuu chilubi lingard,rashford,martial,lukaku hapo nani mkabaji? Hapo hamna mchezaj wa kukaa ni mipira mguuni hao wote washambuliaji wakukimbia unapoambiwa tumemkosa pogba sio kwa bahat mbaya angekuwepo hao unaowaona wana madhara sana ila hatukuwa na pogba ndo mana timu yetu ilihangaika sana katkat kiungo cha kuokota mipira hapo kama uliona silva aliokota mipira mingi katkat sikuona kupak bus hapo ndo mana tumefungwa kizembe kwa kuwa hata goli zao uliona city hawakuwa kwenye ubora wao ila sio timu ya kubeza ni timu nzur sisi shida ni namba 10 tu angalia makosa ya otamend na company utajua hilo

Wakienda na trend hii city ya zile beki pale anfield itakiwa habar nyingine hata kwa chelsea tu usiangalie kufungwa kwake.
 
Mourinho apewe credit kubwa mno hamna timu ngumu kuifunza kama united angefika kama guardiola kuanza kufukuza wachezaj aliowakuta ingekuwa story tofaut jamaa anaingiza falsafa yake taratibu leo anafanya kazi na lingard je chukulia kwa mfano toka timu ya 1 had 6 wapi lingard atapewa namba 10 kuanza kama sio united tu? Anafanya kazi kwenye mazingira magumu mana wote wakina scholes wanaangalia tu ni namna gan anawatendea vijana waliozalishwa na timu tofaut na city nani ataongea kama guadiola akiamua jambo lake?

Lakin watu wanaponda tu bila hata kuangalia mazingira tuliyonayo scholes hakukosea kwamba mourinho ahukumiwe baada ya madirisha matatu ya usajili kupita wanajua kazi iliyopo pale
 
Tetesi
Mchezaji wa Paris St-Germain Thomas Meunier, 26, amehiusishwa na kuhaka kwenda Manchester United miezi ya hivi karibuni ameandika kwenye twitter kuwa angependa kuhamia Old Trafford. (Daily Express)
 
Man utd hatutaki kucheza kama Man city, tunataka tucheze kama Man utd, ile ye Babu Fergie, Babu Fergie nae possession footbal sio style yake, yeye ni mashambulizi tu, ukipata mpira unatakiwa ufanye ufike mbele, Babu Fergie hataki kutia udi kabisa...... Na sio kwamba hawezi au hajui kuchezesha Possession anaweza vizuri sana tu, Ila shida yake ni mashambulizi. Na hata ukiikuta Man utd imecheza na Man city na kufungwa, lakini Under Fergie unajua kuwa ama timu ilizidiwa maarifa, au ilikuwa siku ya kufa nyani tu. Lakini under Jose, unapokutana na timu kubwa yoyote, basi tayari ameshaset mentality yake kuwa tuondoke na point 1 ishatosha, THIS IS NOT MAN UTD!!!
It is not manchester united,It is united of manchester
 
ea6e108fe479b9adb34938b233f2ebd3.jpg

Hivi lukaku wann kila cku
 
Mourinho apewe credit kubwa mno hamna timu ngumu kuifunza kama united angefika kama guardiola kuanza kufukuza wachezaj aliowakuta ingekuwa story tofaut jamaa anaingiza falsafa yake taratibu leo anafanya kazi na lingard je chukulia kwa mfano toka timu ya 1 had 6 wapi lingard atapewa namba 10 kuanza kama sio united tu? Anafanya kazi kwenye mazingira magumu mana wote wakina scholes wanaangalia tu ni namna gan anawatendea vijana waliozalishwa na timu tofaut na city nani ataongea kama guadiola akiamua jambo lake?

Lakin watu wanaponda tu bila hata kuangalia mazingira tuliyonayo scholes hakukosea kwamba mourinho ahukumiwe baada ya madirisha matatu ya usajili kupita wanajua kazi iliyopo pale
True.
 
Back
Top Bottom