The good thing hatukulazimishwa kufanya hayo makosa, wakati Man city walitakiwa kutulazimisha kufanya hayo makosa.Umeongea kama mpagani mkuu suala hapo ni mmelazimishwa kufanya makosa abayo beki zilikuwa zinajisahau alfu lukaku ndyo anabeba duty ya ku clear
Makosa tumefanya wenyewe kwa kuwapa too much space. Wala Man city hawakutegemea such errors to be made. ndio maana tunaona ni magoli ya bahati.Nielewe vizuri, goli ni goli tu, hata maradona alifunga goli la mkono likahesabiwa. sisemi kama mechi ni 1 bila, man utd imefungwa na imepoteza point. Na kuwa tulikuwa na uwezo wa kuwatwanga, ila Mourn yeye amechagua kutoka na droo tu, matokeo yake katufungisha. Point yangu kuu hapa ni kuwa Man utd tumejipindua wenyewe and not Man city
