Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,041
- 33,690
20 anavaa nani??19 ya Trossard?
20 anavaa nani??19 ya Trossard?
Sidhani kama ni nzuri kibiashara19 ya Trossard?
20 anavaa nani??Noni Madueke nadhani20 anavaa nani??
Hakuna namba nzuri kibiashara nyingine inayopendwa na mashabiki iliyobaki kwa Arsenal. 7, 8, 10, 11, 14, 17....zote zina watu. Nafikiri 19 ndiyo iliyobakia.Sidhani kama ni nzuri kibiashara
😁😁😁😁Kwaio mmeona uzi wa nyumbu ndio sehemu ya kujadili issues za arsenal.
Mazee kuweni ata na heshima basi kwa nyumbu[emoji3][emoji3]
Kweli aisee ,na hatuwezi mpora Saka no.7Hakuna namba nzuri kibiashara nyingine inayopendwa na mashabiki iliyobaki kwa Arsenal. 7, 8, 10, 11, 14, 17....zote zina watu. Nafikiri 19 ndiyo iliyobakia.
Wachezaji wa Chaka to chaka
Muite Kristos Tzolis
Kashatia kamba
Manjesta fanyeni usajili ,biashara ya kuhamia kwa pep haipo ,Pep kashawakimbiaView attachment 3641599
Tukutane ligi ikianza, title contender top ni united na arsenalWachezaji wa Chaka to chaka
Muite Kristos Tzolis
Kashatia kamba
Manjesta fanyeni usajili ,biashara ya kuhamia kwa pep haipo ,Pep kashawakimbiaView attachment 3641599
Manjesta yanited Bado mna timu dhaifu ukweli usemweTukutane ligi ikianza, title contender top ni united na arsenal
Punguza dharau
Upana upi unautaka??Manjesta yanited Bado mna timu dhaifu ukweli usemwe
Hamna depth ya kikosi
Au unadhani unacheza jumatatu hadi jumatatu?
Akiumia CB wako mmoja tu inakubidi uweke kina heaven
Kiungo yako wala sio ya kutisha
Ukweli usemwe ,fanyeni usajili wa maana
Mzee kubaliana na ukweli ,hata kama mchungu , Manjesta Bado huna depth na QualityUpana upi unautaka??
United depth ya kikosi ipo
CBs wapo
Maguire
Heaven
Yoro,
Delight
Martinez
Arsenal unao wangapi??
Total midfielders wapo
Fernandes
Mount
Santos
Ugarte
Lacey
Fletcher
Jack Fletcher
Maino
Tielemans
Na Bado tunasajili mwingine mmoja
Timu tunayo, na tuna morali ya ubingwa msimu huu lkn project yetu ni kuchukua epl 2028
Toa sababu kwann atakula vipigo mzeeSio kwa ubaya ,Carrick atafanywa Mbuzi wa kafara ,anaweza asile X mass
Maana atachezea vipigo back to back
Kaka ,kwakuwa unaona naongopa ,naomba nisiongee sanaHeaven na yoro ni CBs wazuri siwez kuwapuuza
Kwani arsenal nje ya gab na saliba mna depth kias gani??
Lakini sio lzm tufanane na arsenal, pia bado tunatengeneza timu nyie mnavuna timu