NyokooMan u 3-1 manct
Kwani Man Utd hayupo UEFA..?Top 4? Chifu, niaje timu iliyo nafasi 2 unataka ipambane kwa top 4? Ligi bado hii. City hawezi kucheza hivi mpaka msimu unaisha. Labda kama aamue kuweka nguvu zote kwenye EPL! Bado yupo FA na UCL, kumbuka.
Bado 22 games, you cannot throw the towel now, United cannot throw the towel now. A lot of things can happen: injuries, suspensions etc., kwa hiyo labda kama umeamua kufurahisha genge kusema ati ligi imeisha, wakati hata half way haijafika.
Ha ha! Halafu sikujua kama ni wewe kashengo naona umetoka mafichoni! Vipi, [HASHTAG]#WengerOut[/HASHTAG] or [HASHTAG]#WengerIn[/HASHTAG]
Ahahaaaah...Man City anapigwa 2 bila.
soton waliwatoa jasho mpaka goli la sekunde za mwisho ndio liliwapa pointi3 na kikosi chao cha kawaida tu vp sie tulio na kikosi bora na wachezaji wapambanaji kila idara
city anakufa 2-0.....uje hapa kuqoute baada ya mechi
Ahahaaaah...nanusa harufu ya droooo!!!
Ahahaaaaah...Leo ni siku ya Lukaku kukata kiu yake ya magoli....
Ahahaaaah...Man City anapigwa 2 bila.
Chief nahis unamjua mournho..
Alichomfanyia hazard ndio atamfanyia huyu mtu..
Mou ni master wa tactics watu wanaweza kuja kuzungumzia kupark bus while.game.imeisha moja au mbili bila na kashinda ila.on target kapiga 4
Ahahaaaaah...Kompany na Otamendi weupe sana. Timu yao inashambulia sana hawapati kashkash. Mou analijua hilo ndio maana kawaweka Rashford na Martial. Watakimbizwa hao hutaamini.
Tulizeni ball,ManCity hawana ubavu O/Trafford,watapigwa tu,waulizeni Arsenal mpira mwingi waliocheza uliwasaidia nini, mwasema hawa wapiga kelele wa M/City wanaupiga mpira mwingi, utawasaidia nini wakati goli halipatikani,tusubiri hiyo siku haiko mbali
Ahahaaaaah...sijawah kuangalia mechi nikiwa na presha namna hii mh!
Ahahaaaaaaaaaaah...Nimeshahakiki kwamba city anakufa. Naangalia mpira kwa raha zote now.
Pole sanaNahisi man u hatupaswi kuzui sana.
Hawa jamaa ni wabovu kule nyuma.
Yaani tukipiga counter kama 5 hivi..TATU zitakuwa Goli zote
4G!!!!!!!???moja moja mpaka sasa, na wao wana stones na otamendi ndani.... Man city ni timu inayofungika, lau kama tutakuwa tunatafuta goli kama tulivotafuta la kwanza, man city analiwa 4G. beki zake bado.....
Haya ni maoni yangu, hayo uliyasema mimi sijawahi kuyasema. Hivyo, kama unalenga kujadiliana nami, usinijumuishe kwenye fungu ambalo simo.Mkuu unamaanisha nini unaposema : City can’t sustain hii pace mpaka mwisho
Anachotafuta city ni ushindi na sio malalamiko baada ya kufungwa.
Mwanzo walisema \city hajakutana ni timu kubwa, wakati huo alishampiga Chelsea, kashampiga Liverpool na arsenal. wakasema sasa Chelsea ni timu kubwa ?, swali likaja walipokutana na Chelsea man u alilala.
Sasa timu kubwa ni ipi? Kwakuwa Man u alikuwa hajakuta na na Man city tukasema labda yeye ndie anaejiona timu kubwa, haya wamekutana leo na man u amelala,
Sasaivi mashabiki wamebadilisha msemo na sio tena timu kubwa bali usemi umekuwa : City can’t sustain hii pace mpaka mwisho.
1. Fine hajakutana na timu kubwa,
2. City can’t sustain hii pace mpaka mwisho
3. .....atafungwa na ki timu chaa
kweli mkuu
Yes, but it’s doable. Ngoja tuone...mi nipo Sie tushakubali mpaka wenger aende zake ndo turudi jukwaani kupiga ngenga....
Najua unakuwaga na roho ngumu uko Positive sana...apart kuwa Bado mko kwenye Race namaanisha kuwa Apparently Point 11 ni nyingi sana sana
Walau unatakiwa upige 10 winning run of games za EPL kuwapa Presha ikiwa kama ni kuwakamata
Jambo ambalo mazee ni Gumu sana
Umesema watapoteana kwenye mashindano mengine? kumbuka nawe unayo (UCL/FA/EFL CUP) so they may loose form or get a Defeat lakini Pia nawe utazipata
Kuna kazi sana kufanya Catching up mzee mtihani sana
Ahahaaaaaaaaaaah...moja moja mpaka sasa, na wao wana stones na otamendi ndani.... Man city ni timu inayofungika, lau kama tutakuwa tunatafuta goli kama tulivotafuta la kwanza, man city analiwa 4G. beki zake bado.....