Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa kweli mkuu nikisomaga post zako napata matumaini.
Ila leo daaah
Yaani cty katuacha point 11 bado tuwe na ndoto za kumfikia? Inahitaji moyo mkubwa sana kuweza kutegemea kitu kama hiko kutokea. muujiza hiyo ilikuwa kipindi cha yesu tu galilaya huko
 
Kwa kweli mkuu nikisomaga post zako napata matumaini.
Ila leo daaah
Yaani cty katuacha point 11 bado tuwe na ndoto za kumfikia? Inahitaji moyo mkubwa sana kuweza kutegemea kitu kama hiko kutokea. muujiza hiyo ilikuwa kipindi cha yesu tu galilaya huko
Sawa, ni uamuzi wako mzee.

Mimi bado naona ligi mbichi kabisa hii!
 
Nakunaliana na wewe kwamba lukaku hatujapoteza hela.
Ila misimu mi2 kabs mkuu?

Mchezaji anunuliwe 75 alaf apewe misimu mi2 kweli?
 
Mourinho labda awe fundi wa kupaki basi tu tatizo lenu mnaongea kuliko uwezo wa timu yenu
 
Nani kamfunga city tuanzie hapo kwanza kabla hujaanza na kocha makini acha mou ajenge timu yake mi ntamponda 2019/2020 aliikuta timu taabani sana
swadakta kaka mou mpaka alikonda msimu uliopita na haiba yake usoni ilikufa kabisaaaaa
 

Mkuu unamaanisha nini unaposema : City can’t sustain hii pace mpaka mwisho
Anachotafuta city ni ushindi na sio malalamiko baada ya kufungwa.
Mwanzo walisema \city hajakutana ni timu kubwa, wakati huo alishampiga Chelsea, kashampiga Liverpool na arsenal. wakasema sasa Chelsea ni timu kubwa ?, swali likaja walipokutana na Chelsea man u alilala.
Sasa timu kubwa ni ipi? Kwakuwa Man u alikuwa hajakuta na na Man city tukasema labda yeye ndie anaejiona timu kubwa, haya wamekutana leo na man u amelala,
Sasaivi mashabiki wamebadilisha msemo na sio tena timu kubwa bali usemi umekuwa : City can’t sustain hii pace mpaka mwisho.
1. Fine hajakutana na timu kubwa,
2. City can’t sustain hii pace mpaka mwisho
3. .....atafungwa na ki timu chaa
ni makocha wawili tu epl wanaojua mpira.....pep na mauricio pochetino

kweli mkuu
 
Nani kamfunga city tuanzie hapo kwanza kabla hujaanza na kocha makini acha mou ajenge timu yake mi ntamponda 2019/2020 aliikuta timu taabani sana
Mou kasema haya : “When you see Man City play you expect them to score great goals, not two disgraceful goals. They’re the last goals you expect to concede against them.”
hahahhahahaha anaijua city
 
Man city hawana lolote hao mechi yao dhidi ya west ham waliponea chupuchupu west ham kama wangekomaa kama jinsi walivyo komaa kwa Chelsea city wangepoteza
Umeona game manure alivyoharibu
 
Man Utd boss Jose Mourinho has conceded the Premier League title race is “probably” over
 


mi nipo Sie tushakubali mpaka wenger aende zake ndo turudi jukwaani kupiga ngenga....

Najua unakuwaga na roho ngumu uko Positive sana...apart kuwa Bado mko kwenye Race namaanisha kuwa Apparently Point 11 ni nyingi sana sana

Walau unatakiwa upige 10 winning run of games za EPL kuwapa Presha ikiwa kama ni kuwakamata

Jambo ambalo mazee ni Gumu sana

Umesema watapoteana kwenye mashindano mengine? kumbuka nawe unayo (UCL/FA/EFL CUP) so they may loose form or get a Defeat lakini Pia nawe utazipata

Kuna kazi sana kufanya Catching up mzee mtihani sana
 
Mashushushu mekundu kudadeki zenu naona sumaku inaanza kuwavuta kuwarudisha kunako nafasi yenu
Nyambaf mnafikir EPL ya baba yenu ya kwenda na matokeo yenu mkononi uwanjani
Kisa karekodi ka kipumbavu eti cjui hatujafungwa kwenye kidimba chetu hiyo ndo city na huyo ndo pep pasua kichwa.Palepale kwenu mnasagwa.
Tatizo mnaongea sana soka uwanjani vinunche
Mkae mkijua bado pointi chache tu mshushwe huko kusiko wahusu
Manchester kuna timu moja tu,Manchester city.
Pumbav KBS!!!!!!?!??????


sent from my xm udongo using jf app
 
Race is wide open!! kila kitu kinawezekana

Kinacho hofiwa tu nadhani italazimika City Kusucrifice baadhi ya mashindano kwa expense ya EPL

FA cup/EFL wabaki na UCL/EPL

wakijifanya mtaka yote inakula kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…