Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man City tukutane hapa chemba kidogo tunakakikao ketu tujadiri kuhusu msamaha wa mvua ya ma goli kwa hawa wenzetu wa upande wa pili
 
Man united wana forward butu sana.........Man City forward yao ni kali sana..........leo hata man u wakipaki basi haisaidii lazima wafungwe tu.......sion wakuwazuia kum aguero,rahim sterling wasifunge
 
Man city hawana lolote hao mechi yao dhidi ya west ham waliponea chupuchupu west ham kama wangekomaa kama jinsi walivyo komaa kwa Chelsea city wangepoteza
 
Advantage Pep!

Can Guardiola continue his winning record against Mourinho in today's Manchester derby?
24862502_10155945352098598_2318649716403071110_n.png
 
Man united wana forward butu sana.........Man City forward yao ni kali sana..........leo hata man u wakipaki basi haisaidii lazima wafungwe tu.......sion wakuwazuia kum aguero,rahim sterling wasifunge

Foward butu Wana goli ngapi? We level yako arsenal na everton tu mpo kwa ajili ya changamoto kama southmpton
 
Back
Top Bottom