Umeona kipindi cha pili? Nafikiri umenielewaKaka kuna timu hata wakiposses huwez kuwashangaa kutokana na nature ya mpira wao Man utd hatuna utamaduni wa kuuchezea mpira pasi tano goal.
Nahis umeengali game zilizopita timu zimeposses ila matokeo draw.
Lukaku asiruhusiwe kudefend. Leo kafungisha magoli yote. Mechi na Arsenal De Gea aliokoa.Dah mambo gani tena haya
2 -1Mlioko kwenye maruninga tupeni tokeo
Vip matokeoCity chali leo