Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

England is the first nation to have five teams in the last-16 stage of the Champions League...

2705.png
✅ Liverpool
2705.png
✅ Manchester United
2705.png
✅ Manchester City
2705.png
✅ Tottenham
2705.png
✅ Chelsea
kuna kitu wanakisaka msimu huu huko uefa sio bure kwa kweli
 
Ushasema De Gea # 20 bado tu hujaona madhara ya Europa League

Kigezo kikuu ni performance UCL

Ila mwakani kuna World Cup nayo ni kigezo kikubwa

Nfano Pogba abebe UCL msimu huu halafu WC afike fainali au achukue kabisa na kungara hapo anajibebea kiulaini
Ukumbuke pia, De Gea hakudaka mechi yoyote ya Europa Legue, mechi zote alidaka Sergio Romero.
 
Atakachofanywa city kesho atajuta sana kesho ndo mtajua kwanini mourinho anaitwa SPECIAL ONE, kesho ndo mtaona mbinu mbadala kimpira naona kabisa hatutapaki Basi wala Lori tutapiga mpira mwanzo mwisho city pumzi ishaanza kukata wale wakijitahidi sana basi 0-0 ila naona tunashinda kwa 2- 0.

#GGMU#
 
mkuu ze dudu tulifungwa na chelsea mechi iliyopita pale darajani ila nakuhakikishia kesho united anashinda ondoa wasiwasi hata kiungo awe scott mctominay
yaaap nakumbuka hii sema nilisahau ni timu ipi ilivunja mwiko wa mou kufungwa jumapili
hayo maelezo hapo niliandika kimtego ili nipate kumbukumbu vizuri
 
washabiki wa man u mbona mna wasiwasi sana subirini kichapo tu hamna uwezo wa kumzuia rahim sterling asifunge
 
Hisia hazitacheza iyo kesho...game ya kesho usitegemee Pep atajiachia tu kama anavocheza na vilaza kama Livapoop. Game ya kesho itakuwa ya nidhamu sana. Hakika city hawatajiachia kama walivozoea. Ila pia cha kushangaza man u hawatacheza mpira unaoutegeme.

Mie naona kuna draw au ushindi mwembamba.
 
BREAKING NEWS; Kuna Hatari Mechi Ya Wapinzani Wa Jadi Wa Jiji Moja La Manchester '" Manchester Derby" Kuahirishwa Kutokana Na Ripoti Ya Mamlaka Ya Hali Ya Hewa Kuwa Jumapili Ya Kesho Inaweza Kuanguka Barafu Kali Zaidi,Kutokana Na Barafu Inayoendelea Kuanguka Uingereza.
24909984_972458226263963_6476151281652742143_n.jpg
Kwa jinsi ratiba ilivyobana ikihairishwa hii mechi hadi ije ipatikane siku nyingine ya kuicheza Paul Pogba kashamaliza adhabu ...
 
Huyu refa wa mechi yetu kesho michael oliver alivyo na maamuzi ya kipuuzi lazima city watapata penalty. Kwa namna city hasa sterling wanavyojua kujiangusha kwenye eneo hatari lazima penalty itokee. Huyu refa huwa simpendi, anatoaga penalty na kadi za ajabu ajabu sana.
 
Maamuzi ya kipuuzi ya refa wa kesho michael oliver lazima city watapata penalty ya kupendelewa kwa namna wanavyojiangusha kwenye eneo hatari hasa sterling. Huyu refa anatoaga penalty na kadi za ajabu ajabu sana.
 
Back
Top Bottom