Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hakuna akiba ya maneno..huyu ni straika wa kiwango cha chini sana..hivi hizi goli anazokosa ni za kushindwa kufunga..mechi 10 goli moja..that's pathetic

Kumbuka mpaka sasa yeye ndio Top Scorer wetu

Keshatupia kambani mara 11

Mpe muda confidence yake irudi tena

**Kumbuka kuna wanazi wa Utd walikuwa wanaapa kabisa kuwa UTD wamepoteza hela zao kwa Pogba {Kipindi fulani} ila waulize sasa kama bado wana msimamo huo
 
Tunaingia kwenye kipindi kigumu cha msimu na hii ilikuwa moja ya mechi ngumu lakini tungeweza kushinda magoli mengi kuliko mechi zote msimu huu

Lindelof ni mchezaji mzuri na yuko comfortable kwenye mfumo wa kuchezesha 3 CB


Kiwango cha Ashley Young kuna possibility kubwa ya Luke Shaw kuuzwa January kabla mkataba wake haujaisha
 
Game ilikuwa nzuri sana japo tactics za kocha zimefanya kasi sana leo haswa kwa Lingard .. Ila Confidence ya Lukaku imepotea kabisa upande wa yeye kuscore ila katika kutengeneza nafasi bado anajitajidi sanaa kama mshambuliaji.. Young game la leo kacheza vizuri mno.. Sub ya Rashford ilikuwa nzuri ila Martial leo alikuwa vizuri zaidi nilitegemea sub yake ichelewe zaidi..
 
Eric Cantona says Pep Guardiola would have been "logical choice" as Manchester United boss over Jose Mourinho
He wouldn't have accepted the offer. City had high quality players and could spend any sum to buy a player of their wishes. Peps likes team with qualities already.
 
Mkuu sawasawa......

Shida ni kwamba Young haingii mchezoni kwa malengo unayodhania mkuu wangu. huyo yupo kuongeza nguvu ya mabeki pale nyuma. Mou mpaka leo licha ya kwamba anawachezesha pamoja Lindelof na Smalling.... lakini hawaamini hata kidogo pale kati..!! Ndiyo maana ya uwepo wa Young kwenye Mechi hii.

So mechi ya leo tegemea mashambulizi ya kushitukiza na ninatabiri mechi mbovu kuliko ile iliyopita na kama tukipata ushindi basi ni wa mbili kwa moja au moja zero..!!
Possession tulikuwa na 41%
 
Ile centre back ya smalling na lindelof huwa inachomesha sana. Mou aache kudharau team kama hizi kwa kupanga kikos cha ajab

Nitarudi badae ila lingard ni wa kwenda Huddersfield huku hayupo sehemu sahihi.

Sawa Mou ni kocha wetu ......

Lakini ule ukweli anatakiwa kuacha dharau na kejeri kwa Mata....!! Hivi Lingard anaanza vp mbele ya Mata? Hata kwa jicho la kawaida Mou anataka kumdanganya nani kwamba Lingard yuko vizuri kulinganisha na Mata??.... dharau....!!

Sawa Rojo umeshaamua acheze kushoto (back).... huyo Young anafanya nini kwenye kiungo Kwanini usimpe nafasi Herrera??

Any away yeye ndiye anayaejua zaidi na Hapangiwi.... ila inakera

GGMU GGMU GGMU GGMU

Lingard leo ndani...huyu mwatukaji "in kitenge's voice" hatabiriki

Mkuu kwa Lingard nakubaliana na wewe kabisa, mimi huwa naona ni mchezaji wa sub na hasa pale timu inapokuwa inaongoza comfortably kabisa.

Ila hapo kwa Young, naomba nitofautiane na wewe, pembeni kule tunamuhitaji Young zaidi ya Herrera anavyohitaji kucheza.

Ndani Ya December Timu Zitakuwa na Michezo Mingi Sana Kati ya Mwisho wa Wiki na Katikati ya Wiki kwa Wastani wa Mechi kila baada ya Siku 3..

So, Kocha analazimika aanze Kuwafanyia Rotation wachezaji ili wapumzike waweze Kuendana na Wingi wa Mechi...

Venginevyo Mkuu utakuja Kulia na injuries hapa pamoja na wachezaji Kuchoka!!!

Mechi 10 ndani ya Mwezi Mmoja si Mchezo Wakati hali Ya Kawaida Huwa ni Mechi 4 tu (Kila Weekend Mechi 1).
 
Lukaku amekosa Sponsor wa kiatu, sasa hivi anavaa Nike nyeusi ila anachofanya ni kufuta ile tick kwa marker pen!

The Belgian is currently without a boot sponsor, and appeared to colour over the Nike tick on his all-black boots on Tuesday, something Mourinho jokingly referred to after the game.
skysports-romelu-lukaku-manchester-united-watford_4169092.jpg
 
Back
Top Bottom