Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Tulieni nyie paka Watford tuchomoe
Rest in Peace na Ban yako hiyo manake ulikuwa huna Zaidi Bali Ni Kusambaza Ujinga tu Jukwaa hili na lile pamoja na yule anaejiita @Sergeo 5
Tulieni nyie paka Watford tuchomoe
Haaa haaa mkuu ya kweli ayoooLukaku amekosa Sponsor wa kiatu, sasa hivi anavaa Nike nyeusi ila anachofanya ni kufuta ile tick kwa marker pen!
Ni mtu mmoja huyo baada ya kupigwa ban akafungua akaunti nyingineRest in Peace na Ban yako hiyo manake ulikuwa huna Zaidi Bali Ni Kusambaza Ujinga tu Jukwaa hili na like pamoja na yule anaejiita @Serge 5
Haaa haaa mkuu ya kweli ayooo
We boya kweli umejifanya kufungua thread eti unaacha kushabikia Man u lini ulikuwa mshabiki wa man u???Tulieni nyie paka Watford tuchomoe
Mkuu Ferrenga....mara nyingine tusiingilie maamuzi ya kocha,tuangalie tu outcomes
Young is 32....Luke hawezi kuuzwa kwa sababu 32 yrs old r/l back amepata form nzuri.Tunaingia kwenye kipindi kigumu cha msimu na hii ilikuwa moja ya mechi ngumu lakini tungeweza kushinda magoli mengi kuliko mechi zote msimu huu
Lindelof ni mchezaji mzuri na yuko comfortable kwenye mfumo wa kuchezesha 3 CB
Kiwango cha Ashley Young kuna possibility kubwa ya Luke Shaw kuuzwa January kabla mkataba wake haujaisha
Yap mkuu Rrondo..Una chuki binafsi kwa Lingard na mapenzi binafdi na Mata, hisia zikiingia huwezi kuangalia kitu kiuhalisia. Usiku mwema.
Sina haja ya kupoteza muda to state the obvious.Ni kipofu tu ndio hawezi kuona alichofanya Lingard au akiingia huwa anafanya nini.Yap mkuu Rrondo..
Katika yote hayo uliyonukuu wewe umeishia kuiona chuki yangu kwa Lingard..!! Ama kwa hakika kuweza kumetofautiana kati ya mtu na mtu..!!
Ukiisha kufikia hitimisho la namna hiyo hauwezi kuviona vitu ktk uhalisia wake.. mechi za nyuma za Lingard na Mata zinathibitisha kile nilichokishema mimi awali... Mimi nilidhani unakuja kunipinga kwa hoja kwamba labda timu imecheza hivi na vile tofauti na nilivosema... matokeo yake we umeishia kuiona chuki yangu kwa Lingard.!!
Ni kweli timu imecheza kwa kuvizia kama nilivosema awali vilevile ni kweli Young amecheza nyuma zaidi kulinganisha na kiungo Haya yote we hujayaona mkuu isipokuwa chuki yangu kwa Lingard..!! Hapa lazima nikiri kwa jana Lingard amecheza vizuri kulinganisha na mechi zilizopita... na nikisema hivi bado haiondoi ukweli kwamba Lingard hana au bado hajafikia kiwango cha kumuweka benchi Mata.!!
Kumeshakucha mkuu, uwe na siku njema
8 goals conceded.....