Inaleta kujirejistaa alafu cjui credit card sasa nayatoa wapiusindwe mwenyewe na bando lako
http://www.totalsportek.com/manchester-united-live-stream/
MKuu nakusubirii uje utupe mrejesho wa A.YOUNG na Lingard Mou amewaweka wa nn kwenye hii game.....Sawa Mou ni kocha wetu ......
Lakini ule ukweli anatakiwa kuacha dharau na kejeri kwa Mata....!! Hivi Lingard anaanza vp mbele ya Mata? Hata kwa jicho la kawaida Mou anataka kumdanganya nani kwamba Lingard yuko vizuri kulinganisha na Mata??.... dharau....!!
Sawa Rojo umeshaamua acheze kushoto (back).... huyo Young anafanya nini kwenye kiungo Kwanini usimpe nafasi Herrera??
Any away yeye ndiye anayaejua zaidi na Hapangiwi.... ila inakera
GGMU GGMU GGMU GGMU
Watford leo kawa mnyonge sio..Nawaona nawaona...mnyonge kampata mnyonge wake!!!
![]()
Hopefully Magoli umeyashangilia na naamini sasa utakuwa Umefahamu kwanini Mou anamuanzisha Young.Sawa Mou ni kocha wetu ......
Lakini ule ukweli anatakiwa kuacha dharau na kejeri kwa Mata....!! Hivi Lingard anaanza vp mbele ya Mata? Hata kwa jicho la kawaida Mou anataka kumdanganya nani kwamba Lingard yuko vizuri kulinganisha na Mata??.... dharau....!!
Sawa Rojo umeshaamua acheze kushoto (back).... huyo Young anafanya nini kwenye kiungo Kwanini usimpe nafasi Herrera??
Any away yeye ndiye anayaejua zaidi na Hapangiwi.... ila inakera
GGMU GGMU GGMU GGMU
Tusaidie link mkuuuNawaona nawaona...mnyonge kampata mnyonge wake!!!
![]()
Akili za Washika Manati wa London hizo.Watford leo kawa mnyonge sio..
Totalsportek.comTusaidie link mkuuu
Huyo Young ameshatupia mbili, la kwanza ikiwa ni matokeo ya assist ya Lingard. Mata nadhani kapumzishwa kwa big mechi zijazo.Sawa Mou ni kocha wetu ......
Lakini ule ukweli anatakiwa kuacha dharau na kejeri kwa Mata....!! Hivi Lingard anaanza vp mbele ya Mata? Hata kwa jicho la kawaida Mou anataka kumdanganya nani kwamba Lingard yuko vizuri kulinganisha na Mata??.... dharau....!!
Sawa Rojo umeshaamua acheze kushoto (back).... huyo Young anafanya nini kwenye kiungo Kwanini usimpe nafasi Herrera??
Any away yeye ndiye anayaejua zaidi na Hapangiwi.... ila inakera
GGMU GGMU GGMU GGMU
Mpaka HT, Watford nunge Man United 3.Mkuu sawasawa......
Shida ni kwamba Young haingii mchezoni kwa malengo unayodhania mkuu wangu. huyo yupo kuongeza nguvu ya mabeki pale nyuma. Mou mpaka leo licha ya kwamba anawachezesha pamoja Lindelof na Smalling.... lakini hawaamini hata kidogo pale kati..!! Ndiyo maana ya uwepo wa Young kwenye Mechi hii.
So mechi ya leo tegemea mashambulizi ya kushitukiza na ninatabiri mechi mbovu kuliko ile iliyopita na kama tukipata ushindi basi ni wa mbili kwa moja au moja zero..!!
Football EinsteinSawa Mou ni kocha wetu ......
Lakini ule ukweli anatakiwa kuacha dharau na kejeri kwa Mata....!! Hivi Lingard anaanza vp mbele ya Mata? Hata kwa jicho la kawaida Mou anataka kumdanganya nani kwamba Lingard yuko vizuri kulinganisha na Mata??.... dharau....!!
Sawa Rojo umeshaamua acheze kushoto (back).... huyo Young anafanya nini kwenye kiungo Kwanini usimpe nafasi Herrera??
Any away yeye ndiye anayaejua zaidi na Hapangiwi.... ila inakera
GGMU GGMU GGMU GGMU
Jones ,Baily ni majeruhi sasa unataka kocha ampange Zlatan kama centre back ?Ile centre back ya smalling na lindelof huwa inachomesha sana. Mou aache kudharau team kama hizi kwa kupanga kikos cha ajab