Man City Jana Kafunga Goli la Oili Dakika Ya 95' .... Tayari analazimishwa Kuwa Bingwa... Akifanikiwa Msimu Huu, Basi Msimu ujao asubiri yamkute Ya Spurs...
Spurs Miongoni Mwa Sababu Za Kuboronga Msimu Huu, Ni Kwamba Msimu uliopita Hakuwa Na Benchi la kufanyia Rotation Wachezaji! Kwahiyo Kutokana na Kutokuwa na Depth ilimbidi Aforce Wachezaji Kucheza Kwa Kila Game, Hatimae Wameshachoka na Sasa Hawana tens uwezo wa Kupambana...
Na Man City Na Yeye Kwavile Gurdiola amefocus Ubingwa! Ameamua Kushisha Full Mziki kwa Kila Game bila ya Kibadili First XI yake...
Kwahiyo Wasipochoka Ndani ya Msimu Huu, Basis next seasons utakuwa ni Msimu mgumu kwake.
Dalili za hile kasi yake ya Goli 4 na 5 kupotea na kuishia Kuvizia ushindi dakika za Referee (95') zinaonesha wazi Kuwa Timu inaendea Kuchoka Kwa Wachezaji Kuto kupumzika.