OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Chengaaa mbiliiUnafungwa na mchezaji aliyekuwa chaguo lako la kwanza kama no 9..
Mshambuliaji hawezi hata kupiga chenga mbili.. Hivi tuliwahi kuwa na namba tisa aina ya lukaku?
Leo lukaku mbovu du atarChengaaa mbiliiumenifurahisha mnoo....
wotevaYa kabati au.!!
sio kosa lako ni kosa la upeo wako,kumfananisha Eden Hazard na akina Rashford na Martial ni dalili tosha una mapungufu ya kiakili linapokuja suala la mpira wa miguu.mchezaj wa kawaida mno kama imekuuma chomoa nachomeka tena
una akili ww wenzenu tuna hazard,fabregas,,kante,,morata,, halafu uoni nn mmzidiwahata nikiangalia sijaona kitu wachezaj wa chelsea wameizid united mourinhi plan yake mbovu leo utafikir anacheza na wakina Kdb + silva viungo wabunifu kumbe duuuuuuu
una akili ww wenzenu tuna hazard,fabregas,,kante,,morata,, halafu uoni nn mmzidiwa
kila la kheri hope kesho mech itarudiwa na utapata ushnd wa ndoto yakoTunashinda tena
Chelsea 0-3 Manutd
Changia bsi ela nasikia wanapitisha kikombe cha mchangiMkuu Kna timu 20 znashiriki pale,,,
Timu kama 6 Ukianza na Arsenal,, Liverpool,, Spurs,, Chelsea,,Man City,, na Man Utd zote znapigania ubingwa na nafasi Nne za juu..
Ili Basi uwe bingwa inakupasa kwanza usifanye makosa pindi unapokutana na timu ambazo tunaweza sema avarage ama ndogo kabsa,,
Hicho kitu City ni kama wamekiweza,,
Pili ukikutana na mkubwa mwenzio basi unatakiwa umpunguze speed,, either umfunge ama u-droo
Hiki kitu pia City wamekiweza hadi sasa,,..
Yote hayo ni pamoja na ubora wa kikosi cha City.
Sisi bado kiasi chake Mkuu,,makosa bado mengi,, Baka na AM wangeongeza chumvi kidondani kama wangekuwa makini zaidi..
Ubingwa wa EPL umeshakua mgumu hasa wakati huu ambao PG ypo pale,,, tena akiwa na resources za Kiarabu,, si rahis sana kumshinda,,
Ila cha mhimu kujipanga Wakuu,, nlichogundua ndio maana wachezaji wanagawanywa katika makundi ili hali wanacheza mchezo mmoja,,, PSG sio wendawazimu kuweka mizigo mezani kununu WC Players,, hawa avarage Players ndio wanaigharimu timu,,, Bernado Silva ypo benchi pale city,, Draxler,,Pastore,,Moura,, na hata dgo Rabiot wapo benchi Pale PSG,,, kna Bale nao hawana namba za kudumu huko Bernabeu,, Sie tunataka Kna Mkhi watubebeshe Ubingwa??
SAF's era are Over... Pesa itumike kuleta furaha,,
Other wise [HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
ulifanya maamuz sahihiWakuu hapa nilipo napata dinner kabisa maanake mimi man utd ikifungwa wiki nzima inaharibika kwahio najihami nisije kushindwa kula!
sio kosa lako ni kosa la upeo wako,kumfananisha Eden Hazard na akina Rashford na Martial ni dalili tosha una mapungufu ya kiakili linapokuja suala la mpira wa miguu.
so iniesta ni mchezaji wa kawaida???mkuu ntajie misimu mi 3 ambayo hazard kawa kwenye form katupia goli zaid ya 15 au hata 10 na assist 10 tukikwambia ni mchezaj wa kawaida usikatae
Kikifika nitachangia,,,Changia bsi ela nasikia wanapitisha kikombe cha mchangi
so iniesta ni mchezaji wa kawaida???
nyie ndo mmejifunza mpira ukubwan iniesta ana magoli machache kuliko john terry bt ni world class player
kuna watu mnamuona mchezaji akiwa anafunga au ku assist
euro iniesta anashnda mchezaji bora alikua na goli moja au mbili assist hazizid tatu
kaangalie wachezaji wenye impact wanapokuwa na mpira mguuni sio tu EPL bali duniani kote kama utanamkosa Hazard katika list za juu maana sitaki kukuchambulia kitu kimoja kimoja sijui magoli,assits.dribbles,take ons,most fouls n.khazard ana kitu gani special pale epl had sasa we jamaa top assist wapo wakina t kdb,eriksen,sesc,ozil magoli wakina aguero,alikuwepo costa kane daaaaa hebu niwekee takwimu zake special mbona mnamkuza kwa ku drible na mbio au?
kaangalie wachezaji wenye impact wanapokuwa na mpira mguuni sio tu EPL bali duniani kote kama utanamkosa Hazard katika list za juu maana sitaki kukuchambulia kitu kimoja kimoja sijui magoli,assits.dribbles,take ons,most fouls n.k
nakushangaa ww unaesema hazard mbovu kisa goals n assistutakuwa mgonjwa sasa iniesta na hazard wap na wap
Punguza kisirani mkuu,tunajua ww ni mdogo ake Jones,maana alichokuwa anafanyiwa na hazard ni aibuhazard ana kitu gani special pale epl had sasa we jamaa top assist wapo wakina kdb,eriksen,sesc,ozil , silva magoli wakina aguero,alikuwepo costa kane daaaaa hebu niwekee takwimu zake special mbona mnamkuza kwa ku drible na mbio au?