Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mikhi ana mbio na nguvu kuliko Mata. Skills debatable
Sijawahi kuona Mikhi amefanya kitu kwenye hii timu. Na sijui kwa nini Mou anamuacha nje Lingard anaweka hii takataka
 
miki? huwezi kuwa serious mkuu,sio kwa Lingard.hata Mata hamfikii
 
Back
Top Bottom