mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
I knew it.....................
badili heading kama unaweza sio 0-8, ni 2-8...
yaani huyu ni kocha wa milele...hahaaa ingekuwa chelsea yaani saa hizi wenger kishatupiwa virago zamani tu
Kuna watu wanamiss hii party, Mfarisayo, Manda, Belo, Nayvone, BelindaJacoob na wengine ambao sijawataja.
Kusema ukweli baada ya goli la sita nilianza kuwaonea huruma Arsenal.
Kuna watu wanamiss hii party, Mfarisayo, Manda, Belo, Nayvone, BelindaJacoob na wengine ambao sijawataja.
Kusema ukweli baada ya goli la sita nilianza kuwaonea huruma Arsenal.
<br />Mamaa ni arsenal leo najua sitapikiwa daku!
soni! soni. NIliposikia 8 nilidhani Arsenal ya embe kiburugwa imefungwa katika kombe la mbuzi. Kumbe ni real Arsenal.utafikiri netball jamani.magoli 8,poleni mashabiki wa arsenal