Wapenzi wa EPL hasa mashabiki wa Arsenal na Manchester, heshima mbele wakuu wangu!.
Hivi kwa nini Arsenal mara nyingi inafungwa na Manchester? sababu hasa ni nini? -
Binafsi nafikiri kama kwenye maisha kuna bahati basi hata kwenye mpira kuna bahati. So nafi
kiri Man u pamoja na kuwa na timu mzuri lakini pia wanabahati kushinda timu yoyote England.
Maana hata kwenye mtanange wa leo utaona Arsenal watacheza kama Barca,lakini mwisho wa
dk 90 utaona Man U 3 Arsenal 0 au 1.
Au nyie wenzangu mnaonaje? kwanini Arsenal inafungwa mara nyingi na Man U?