Woodward ni virus kwenye club yetu, just a matter of time watu watalielewa hili, sijui hata kwanini kuna watu wanapost hata post za kum-praise humu ndaniKuna taarifa Mou hana maelewano na Woodward, taarifa za chini kwa chini
Iyo kazi ya wakala wake...ujue sa hv wapo kwenye meza ya mazungumzo lazima rumors ziongezwe ili dau lipate presha ...Kuna taarifa Mou hana maelewano na Woodward, taarifa za chini kwa chini
Ni kweli na nimesikitishwa na hili,PSG wanaweza kutumia nafasi hii kumrubuni Mou ili awe kocha wao,hamna kocha atakayekataa kuifundisha PSG kwa sasa kutokana na aina ya kikosi,mikakati yao na uwezo wao wa Fedha.Kuna taarifa Mou hana maelewano na Woodward, taarifa za chini kwa chini
Mourhnio anataka dau la mkataba mpya lipande huku anatishia PSG. Woodward yuko makini na bottom lineKuna taarifa Mou hana maelewano na Woodward, taarifa za chini kwa chini
Umezipata wapi hizi? Wasingeanza kumpa 5year deal kama hali IPO hivyo. Maana anaesimamia hilo deal ni Woodward.
Mourhnio anataka dau la mkataba mpya lipande huku anatishia PSG. Woodward yuko makini na bottom line
Chelsea walikuwa sharp kwenye usajili kuliko United ?Mkuu mourinho sio mnafiki huwa hatanii anachoongea ndo hicho hicho jamaa kweli ataondoka nakwambia ed woodward yupo shapu sana ktk mambo ya biashara lakin ktk usajili mzito sana hicho kinamfanya mourinho asijisikie vizur ukiangalia city na psg suala la usajili wanalizingatia sana tofaut na sisi sasa yeye mou anaangalia zaidi uwanjani ambapo kwake ndo lawana huanzia alihuzunika sana alipowakosa wachezaj anaowataka muorinho kafanya kazi na chelsea angalia walivyokuwa shapu kuchukua wachezaj alipo point sisi tunajivuta mno hadi kero gemu ya juz tu na liverpool ilihitaj winga mzoef kwenye kaunta attack hapo perisic alikuwa msaada mkubwa mno sifa ya pili anasaidia kukaba
Asubiri aone musimu huu atabeba mataji mangapi ndiyo aongee ugali wakeMkuu mourinho sio mnafiki huwa hatanii anachoongea ndo hicho hicho jamaa kweli ataondoka nakwambia ed woodward yupo shapu sana ktk mambo ya biashara lakin ktk usajili mzito sana hicho kinamfanya mourinho asijisikie vizur ukiangalia city na psg suala la usajili wanalizingatia sana tofaut na sisi sasa yeye mou anaangalia zaidi uwanjani ambapo kwake ndo lawana huanzia alihuzunika sana alipowakosa wachezaj anaowataka muorinho kafanya kazi na chelsea angalia walivyokuwa shapu kuchukua wachezaj alipo point sisi tunajivuta mno hadi kero gemu ya juz tu na liverpool ilihitaj winga mzoef kwenye kaunta attack hapo perisic alikuwa msaada mkubwa mno sifa ya pili anasaidia kukaba
Chelsea walikuwa sharp kwenye usajili kuliko United ?
So ulitaka Woodward atoe £48m kumnunua Perisic ?
Game against Liverpool tayari lawama anaanza kupewa Woodward.Hata angekuwepo Perisic still approach ya Mourinho isingebadilika.Pep Guardiola ana approach zake na aina ya wachezaji anaowahitaji so usitegemee Man United icheze kama Man City wakati inafundishwa na Mourinho