Namba kwetu sioni kama atapata labda atauzwa tu
Tusifanye haraka yaje kutokea ya Pogba!!!Namba kwetu sioni kama atapata labda atauzwa tu
Mikakati ya usajili ndiyo sheeeda kwakeTusifanye haraka yaje kutokea ya Pogba!!!
hapo ndio utagundua wafungaji wetu bado sana mbele ya city
Umezipata wapi hizi? Wasingeanza kumpa 5year deal kama hali IPO hivyo. Maana anaesimamia hilo deal ni Woodward.Kuna taarifa Mou hana maelewano na Woodward, taarifa za chini kwa chini
Danny Welbeck ana maneno....
![]()
To go AWOL for one game is better than 1 win in 8 games I guess......!