Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mpira ni ufundi, km United anadefence, wewe opponent una nafasi ya kushambulia.

Wapinzani wanapeda United acheze kwa namna ambayo itawapa wao fursa ya kushinda. Utasikia afunguke aone!!
 
Huyo nae kocha wetu timu kama liverpool na pesa alizotumia ukiangalia kikos cha liver na thamani na mpira wanaocheza nahisi hatutendei haki muoga mno van gaal alikuwa anajipigia liverpool anavyotaka na wakina depay blind nje ndan darmian hik nini? Mtu hawez hata kupiga pas ni kubutua tu hatuna namna
 
Herrera,mata,mkhitaryan na matic hapo palikwa tayar pashakaa sawa darmian namba 2 anacheza 3 anafaham martiala akianza kiwango chake hakielewek unamweka bench rashfordd loooooo
 
Game plan ya kocha ilikuwa mbovu but nashangaa imekuwaje wachezaji hata kupiga pasi,kutuliza mpira wanashindwa
Mkuu umenena kitu kizuri sana yan nimeshangaa sana kang'ang'ania mipira ya juu dakika zote wakati anajua plan imegoma darmian poor smalling angetufungisha anachanganyikiwa nahis anavutq bangi yule
 
Uzi wenu Unaenda kwa sababu Rutashubanyuma anapost mapicha kila siku. Mpaka sasa kashapost mapicha kama 30 hivi. Sasa kwa nini uzi usiende?
Hata kwenu kuna mapicha lakini huoni nawewe kushinda huku kuliko huko ni sababu?
 
Back
Top Bottom