Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1507987501369.jpg
 
Wazee wa 4G naona mmeanza big teams ki-design.Na hapo bado Man City ambaye amekamilika kila idara, Tottenham ambaye safu yake ya ushambuliaji iko vizuri lkn pia ulinzi wake ni imara, Chelsea ambayo imekamilika safu ya ulinzi, viungo na mwishoni kuna akina Pedro, Hazard na Morata; na Arsenal. Achana na Liverpool yenye ulinzi mbovu na haina mtu wa kamalizia maana mnaona wanatengeneza nafasi nyingi ila hawafungi
Nakuuliza ulitaka tushinde au tufungwe maana uweleweki????!!!!
 
Kwa mchezo huu sitaki kuwaza Man City watatufanya nini NARUDIA SITAKI KUWAZA KABISA.
yanaweza tokea ya goli 6
Mkuu city watatubamiza game ya leo imenipa hasira had nimeombea tupigwe mou akili imkae sawa game hizi inahitaji timu icheze mpira sasa analeta uchelsea[emoji16] [emoji57] [emoji57]
 
Wazee wa 4G naona mmeanza big teams ki-design.Na hapo bado Man City ambaye amekamilika kila idara, Tottenham ambaye safu yake ya ushambuliaji iko vizuri lkn pia ulinzi wake ni imara, Chelsea ambayo imekamilika safu ya ulinzi, viungo na mwishoni kuna akina Pedro, Hazard na Morata; na Arsenal. Achana na Liverpool yenye ulinzi mbovu na haina mtu wa kamalizia maana mnaona wanatengeneza nafasi nyingi ila hawafungi
Mkuu unavuta bangi gani[emoji23] [emoji23] wewe shabiki wq Chelsea nyie pale mbele mnaotea tu[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom