Kiukweli Mou kazingua sana. Kwa big game tuta-struggle sana.
GGMU
Naona Mwana Ukawa umeleta uchambuzi wako.Wazee wa 4G naona mmeanza big teams ki-design.
Na hapo bado Man City ambaye amekamilika kila idara, Tottenham ambaye safu yake ya ushambuliaji iko vizuri lkn pia ulinzi wake ni imara, Chelsea ambayo imekamilika safu ya ulinzi, viungo na mwishoni kuna akina Pedro, Hazard na Morata; na Arsenal. Achana na Liverpool yenye ulinzi mbovu na haina mtu wa kamalizia maana mnaona wanatengeneza nafasi nyingi ila hawafungi
Ukawa na Man U wapi na wapi?Naona Mwana Ukawa umeleta uchambuzi wako.
Ukawa na Man U wapi na wapi?