Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Ulishawahi kucheza mpira?Kwa mchezo huu sitaki kuwaza Man City watatufanya nini NARUDIA SITAKI KUWAZA KABISA.
yanaweza tokea ya goli 6
Sawa tunaotea. Nyinyi mbona hata kumuotea Liver imewashinda!? Yani Hazard, Morata na Pedro useme wanaotea? Morata akifunga magoli 6 ameotea ila Lukaku akifunga hayo hayo hajaoteaMkuu unavuta bangi gani![]()
wewe shabiki wq Chelsea nyie pale mbele mnaotea tu
![]()
![]()
Walikuwa wanakufa Leo. Lukaku hajaonekana kabisaaa. Matic kapotea.Kabisa kiongozi...
Mkuu ila kikosi kipo very poor bora tungeperform tu tujue tulijaribu mipira yq juu imekufa leo fellain anahitajika sana otUgenini kugumu mkuu
Acha kabisa yani naona sitakua naangalia hizi big match nitapata ugonjwa wa moyo bure.Mkuu city watatubamiza game ya leo imenipa hasira had nimeombea tupigwe mou akili imkae sawa game hizi inahitaji timu icheze mpira sasa analeta uchelsea![]()
![]()
![]()
Hakuna jambo kama hilo kwenye mpira wa miguu. Mnatafuta sababu ya kushindwa na LiverpoolUkawa= muunganiko wa Chelsea+Arsenal + Liverpool
Nimewahi ndioUlishawahi kucheza mpira?
Walikuwa wanakufa Leo. Lukaku hajaonekana kabisaaa. Matic kapotea.
Wanawafunga watoto wanasema wanajua.
Mkuu uzi wenu hauendi sababu ya umbeyaSawa tunaotea. Nyinyi mbona hata kumuotea Liver imewashinda!? Yani Hazard, Morata na Pedro useme wanaotea? Morata akifunga magoli 6 ameotea ila Lukaku akifunga hayo hayo hajaotea