Huwa sipendi mfumo huu wa kulinda ujinga...hujafunga goli sasa unalinda nini...just ujinga kuwapa opponent moroli ya kucheza. Huu ushenzi aliufanya antonio conte.
Nahisi Mou pia...anamuaminisha Klopp anakuja kulinda...naaamini kipindi cha pili haji kulinda tena.
Nahisi Mou pia...anamuaminisha Klopp anakuja kulinda...naaamini kipindi cha pili haji kulinda tena.