Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
ushindi ni lazma leo. mapema tu
ggmu
ggmu
Ni kasi tu leo hadi ulimi uwatoke wote njeLazima tuwakalishe. Moto wetu sijaonaa wakuuzima Mkuu.
4G hadi wasalimu amri nyumbani kwaoLazima tujipigie hawa nyumbu leooo mkuu
Saa nane unusu saa zetuGame yetu wadau itakuwa mida gani Leo kwa sasa za hapa Bongo ?
Mwenzetu ni malalamiko lakini michango ziro jipime kabla hujawapima wenzioNa hapo jamaa huwa anazikopy zote hata bila kuangalia kama karudia afu anaanza kuziforward kuja huku .
Sijawahi kupata like yako na wala siihitajiHata kama ni kutafuta likes kwa lazima sio kihivyo awe anaweka tu picha za muhimu tu na sio kila picha zinazokuja mbele yake na kama hazina umuhimu afadhali tu aache kupost.
Za kwako utaanza kutupia lini ili mbumbumbu kama mimi nijifunze kutorudiarudia? Pokea like kwa mchango hewa!Picha anatupia....afu bado anarudia tena ata mara tatu
Mwenye tatizo ni wewe ambaye huna mchangoMkuu tatizo lako unapenda sana kurudiarudia picha hata ambazo hazina umuhimu.
Cha muhimu ni pointi tatuYaani leo tukishanda sijui furaha nikayokuwa nayo..
Ila Hakuna raha kama kumfunga Liverpool katika kipindi hiki
Dakika 30 wanazojivunia ndizo tutawafungaushindi ni lazma leo. mapema tu
ggmu
This photo is real touching, a son to his father.