Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Kipa De Gea
No 10 ??Viungo wa pembeni Mhiki na Martial ingawaje ninajua Mourhnio hataanza na Martial na badala yake ataanza na Mata
Suala ni kiwango na kuvutana na kocha ndiyo shubiri ya HerreraIla aisee mambo yanabadilika,leo mashabiki wote wa united duniani wanalia na kukosekana kwa fellaini kwenye kikosi,wakati kijana aliyekuwa player of the season(Ander Herrera) yupo fit..
Pokea like ila kwenye huu uzi ni bingwa wa mipasho lakini michango ziro hii ni pamoja na huyo unayemshabikia.Kipaumvele chake ni kuongoza Jf nzima kwa wingi wa post na like
Sijui kuna tunzo atapewa
SahihiNi kwasababu tu Pogba majeruhi. Countinho hawezi muweka bechi Pogba. Salah mwenyewe ni shida kumweka bechi Martial.