Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man Utd boss Jose Mourinho: I will play with nine strikers against Liverpool

The Special One was unhappy with suggestions his side will be defensive against the Reds.

United have won six of their seven Premier League matches, scoring 21 goals in the process.

And Mourinho insists his side will play with attacking intent against Jurgen Klopp's side tomorrow.

Mourinho said: "I play with one defender and nine strikers, don’t worry about it, we play with one guy behind and then we go with a new system and we play with nine strikers, don’t worry about it."

United could only earn a point at Anfield last season, but the Red Devils boss anticipates things being very different tomorrow.

“I play with one defender and nine strikers, don’t worry about it”

Man Utd boss Jose Mourinho
He explained: "Last season we didn’t win three points, we got one but we got one comfortably, without any problems.

"Let’s see what happens this season, we want to win, last season we wanted to win, we couldn’t. This season we want to win."

United are currently seven points clear of their arch rivals going into the showdown.

And a win would send the Red Devils top before Manchester City take on Stoke at 3pm.

Mourinho added: "We go to play against a big team with a great tradition in an amazing stadium, we know the fans have a huge animosity against United historically, this is what we want.
 
Sioni sababu ya sisi kutokuchukua pointi tatu leo kwa hawa wanaojiita majogoo...
 
Ila aisee mambo yanabadilika,leo mashabiki wote wa united duniani wanalia na kukosekana kwa fellaini kwenye kikosi,wakati kijana aliyekuwa player of the season(Ander Herrera) yupo fit..
 
73ff12e11e59e0a48250b228fd724752.jpg
 
Hata kama ni kutafuta likes kwa lazima sio kihivyo awe anaweka tu picha za muhimu tu na sio kila picha zinazokuja mbele yake na kama hazina umuhimu afadhali tu aache kupost.

Na hapo jamaa huwa anazikopy zote hata bila kuangalia kama karudia afu anaanza kuziforward kuja huku .
Anafikiri wengine hamna MB za kutumia
 
Mou nahisi atacheza game kwanza yakuharibu mipango, alafu atakuwa na quick attack, wakati huo huo timu ya kuenda kuongeza mashambuzi yani wing back watakuwa wanahitajika kurudi haraka nyuma kwaajili ya kulinda.

Hapa ndio utagundua mou anaweza wachezesha valencia na Ashley maana wana uwezo huo.

Pia leo nahisi kutakuwa na man marking hasa kwa sehemu ya kiungo, maana liva mashambulizi yao mengi yanaanzia katikati wakielekea eitherkushoto au kulia...afu badae wanaweka kati kufunga

Lakini apo tunajua liva hawana straika wa kushngaza sana... Kazi iliyopo leo n kukamata kiungo na kuweka pace man kwenye wing back.

Alafu Herrera apewe kazi ya kupiga zile pasi zake kwa rashford.

Kwa ujumla hii game ipo mikononi mwenu..ikiwezekana kuwapiga goli dakika za mwanzo wataishia kuloa tu.
 
Kula like mkuu huu ndo uchambuzi unaohitajika humu ndani na sio kurudiarudia tu picha zilezile kwa malengo ya kupata tu likes .
 
Back
Top Bottom