Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Mkuu tatizo lako unapenda sana kurudiarudia picha hata ambazo hazina umuhimu.
Mkuu tatizo lako unapenda sana kurudiarudia picha hata ambazo hazina umuhimu.
Hata kama ni kutafuta likes kwa lazima sio kihivyo awe anaweka tu picha za muhimu tu na sio kila picha zinazokuja mbele yake na kama hazina umuhimu afadhali tu aache kupost.Picha anatupia....afu bado anarudia tena ata mara tatu
Matic? Too many attackersKikosi cha kesho.![]()