Wimbo wa kishangilia ambao wanamtaja lukaku Kama kumsifia ila maneno yake ukiyachambua inasmekana yamebase kwenye ubaguzi wa rangi kwa sababu wanasema "he has a 24 inches DICK"Hivi ni wimbo gani huo wanao imba mashabiki wa Manchester United kuhusu lukaku? Hii habari nakutana nayo nashindwa kuelewa kuna tatizo gani katika huo wimbo? Je una viashiria vyovyote vya ubaguzi?
Hahahaha eti timu yenu inaogopeka.Mou leo sijamuelewa....
Timu yetu kwa sasa inaogopeka karibu na kila timu hapa EPL, Kwanini acheze kwa kujihami namna hii.? Timu ikishaanza kucheza mchezo wa ku defend inakuwa under pressure muda wote...
Tumewaacha Soton wajitawalie mchezo kipindi cha pili utafikiri wanacheza na C.palace..!! Wametuchezesha utafikiri si timu iliyoko kileleni. Najua alikuwa uwanjani huku akiiwaza mechi ijayo CL... lakini bado hakutakiwa kujilinda namna hiyo.
Timu zote duniani kwa sasa hazilindi kigoli kimoja (hata yangekuwa 4g) kwa kujilinda namna hii... Beki 6 plus 3DM....!!! Hapana Mou siku nyingine usifanye hivyo aisee wengine tumetoka kutibu Madonda ya tumbo kama si pressure juzi tu hapa.
Hongera zetu kwa ushindi though...!!





Nashukuru mkuu maana taarifa ilikua inaandikwa pasipo kuelezea nini kinachoimbwa.Wimbo wa kishangilia ambao wanamtaja lukaku Kama kumsifia ila maneno yake ukiyachambua inasmekana yamebase kwenye ubaguzi wa rangi kwa sababu wanasema "he has a 24 inches DICK"
Yani ana uume wa inchi 24
Hv wiki iliyopita ulikuwa wapi? Halafu hv huna jukwaa lenu huko mkajadili mambo yenu?Hahahaha eti timu yenu inaogopeka.
Hahaha acha kujidanganya mkuu![]()
Wimbo wa kishangilia ambao wanamtaja lukaku Kama kumsifia ila maneno yake ukiyachambua inasmekana yamebase kwenye ubaguzi wa rangi kwa sababu wanasema "he has a 24 inches DICK"
Yani ana uume wa inchi 24
Ha ha ha ha Kuna belief wanaamini watu weusi tuna madushe makubwa na vile lukaku ni Giant ndio maana mashabiki wa man U walikuja na hiyo nyimboMkuu huo ni ubaguzi wa rangi au ubaguzi wa dushe??
Mechi 38 huwezi kucheza zote vizuri cha msingi ni kupata matokeo hata kama hujacheza vizuri hii ilikuwa game ya kufungwa,viungo/winga wote walikuwa wanaonekana wamechoka Lukaku alikuwa isolated peke yake.Pogba ndio most creative midfielder wa United yeye mara nyingi ndio anaanzisha movie za mashambulizi asipocheza pengo lake linaonekana. Baada ya kuona Saints wametawala kati na wanashambulia upande wa Young na kumpa kazi Jones ilibidi Jose abadilishe mfumo akawaingiza Smalling na Herrera kuchezesha 3-5-2 ambayo ilisaidia kwenye kuzuiaMechi ya Stoke na ya leo tunaonekana ku-struggle siyo kwa ubora wa timu hizo bali hatupo vizuri hasa katikati ya Kiwanja. Kasi ya timu ni ndogo.
Pamoja na kufungwa leo,Stoke ni moja ya timu inayocheza mpira mzuri sana msimu huu.Nimeangalia mechi zao dhidi ya Arsenal,United na Chelsea mechi zote wamecheza vizuri sana leo licha ya kufungwa wao ndio walikuwa wametawala mpira wakafanya mistake kwenye kuzuiaMechi ya Stoke na ya leo tunaonekana ku-struggle siyo kwa ubora wa timu hizo bali hatupo vizuri hasa katikati ya Kiwanja. Kasi ya timu ni ndogo.
Asante aisee! Tuko vizuri..Mkuu karibu tena jukwani. Tulikumiss kwa kweli![]()