Hivi nyie Stoke City aliwashinda nini.? Mbona wepesi tu. Au kwakua hamkua na Morata![]()
![]()
![]()
Wakuu kama mtachukia,chukieni...Lakini Mimi binafsi naona Mata anatakiwa kuanzia benchi....Martial na Rashford wanatakiwa kuanza pamoja.
Mechi zote,akitoka Mata ndio tunapata gori nyingi.
Mechi ya Stoke na ya leo tunaonekana ku-struggle siyo kwa ubora wa timu hizo bali hatupo vizuri hasa katikati ya Kiwanja. Kasi ya timu ni ndogo.
Ahsante....nawe hongera kwa ushindi wa goli moja dhidi ya Southamptonhongereni mkuu naona mmewashikisha adabu na mpira wao wa manguvunguvu
Dharau hizi
Hahahaaa.... Huyu mzee anadataKitendo kilichomfanya Mourhino kupewa kadi leo
View attachment 594290

😀😀😀 Mou anavituko sana. Alitaka kuwaondoa wapinzani kwenye mchezo.Kitendo kilichomfanya Mourhino kupewa kadi leo
View attachment 594290
Dharau hizi