sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
yaaani leo 4g tunaziangalia kwa wenzetu.4G zimehamia kwa majirani na Darajani
yaaani leo 4g tunaziangalia kwa wenzetu.4G zimehamia kwa majirani na Darajani
Mbili za mabeki na hapo wanaotoka si mabeki.Nahisi Mourinho alikuwa anafanya experiment kuwa tunaweza kung'ang'ania kigoli kimmoja ugenini!
Phil Jones yuko vizuri.
Safi ya kibabe hiyo