Ugiligili
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 3,023
- 4,072
Mechi ya leo ilikuwa ngumu..na kocha wetu ndo aliiongeza ugumu baada ya kupaki basi niliona had rashford karudi kuwa beki[emoji47][emoji47]..binafsi sipendagi tabia ya kupaki basi ila at least tumepata goli na point tatu muhimu ugenini..!! GGMU!! GGMU!!