Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahaha...mlifikiri gem rahisi!!
Naona mshaanza kupanic
 
Msimu uliopita hatukupata ushindi wa ugenini mpaka October, naona tumeanza mapema msimu huu. Jury is still out kwenye midfield.
 
Msimu uliopita hatukupata ushindi wa ugenini mpaka October, naona tumeanza mapema msimu huu. Jury is still out kwenye midfield.

chelsea msimu uliopita walianza hivi . hivi... katikati ya msimu petrol ilianza kwisha ....

hongereni banaaa....
 
Post match interview
Kuhuasu De Gea
SAF akijibu swali kuhusu alichomwambia David De Gea baada ya mechi: "I patted him on the head and said welcome to England."
Ashley: "David was disappointed about the goal but we knew we would create more chances."

Injuries
SAF: "Rafael will have an operation on his shoulder."
SAF: "Vidic could have a nerve problem, not sure, probably out two weeks."

Habari zisizo rasmi ni kuwa Rio atakuwa out for 6 weeks. (Hamstring Injury)
 
Habari zenu wakuu leo hatukuwa pamoja koz tanesco walitekeleza moja ya majukumu yao ya kugawa giza so nilikwenda kucheck game pande za vijiweni.
West-Brom-v-Man-Utd-David-De-Gea-warmup_2636056.jpg


West-Brom-v-Man-Utd-Wayne-Rooney-Chris-Brunt_2636072.jpg
 
Shoulder injury sidelines Rafael

Manchester United suffered a blow before they had even kicked a ball in the new Premier League season, with fullback Rafael da Silva ruled out for ten weeks.
 
kwa kuanza si vibaya, tuombee timu yetu itwae kombe tena.
 
Haya hongereni kwa kujihimu na kufungua biashara asubuhi. Sisi tulivuta tu shuka kwa kuogopa umande
 
Back
Top Bottom