Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

True or false

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Without winning THE LEAGUE, but we were winning other trophies. Arsenal went 44 years without winning anything. FACT!
 
Without winning THE LEAGUE, but we were winning other trophies. Arsenal went 44 years without winning anything. FACT!

What about this milestone:

arsenal-49-games-unbeaten-453x340.jpg

Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
 
kwa nini kocha hampangi macheda? Me nakereka sana, ni bora zaidi ya welbeck anambania tu.

Komredi Ngosha, katika idara ambayo ina ushindani katika kikosi cha Man United kwa sasa ni ushambuliaji kuna Wayne Rooney,Dimitar Berbatov,Michael Owen,Javier Hernandez,Danny Welbeck,Federico Macheda na Mame Diouf.Wote Wellback na Macheda walipelekwa kwa mkopo ila Macheda hakufanya vizuri nakumbuka alifunga goli moja tu wakati Wellback aliifungia Sunderland magoli 6 halafu sifa nyingine ni kuwa Wellback anaweza kucheza kama winga na kurudi nyuma kusaidia kukaba tofauti na Macheda.Angalia Berbatov ambaye alikuwa mfungaji bora msimu uliopita anakaa benchi na kwa sasa Owen na Chicharito ni majeruhi.
 
Zungumzia mbona iliishia hapo 49 haikuendelea 50,51,.....tuliwafanya nini hiyo game namba 50

Do you know the meaning of milestone? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wazee Arsena wanatia huruma sana............duuhhh........... Arse 0 - Liv 2
 
Kadri ninavyomuona Charlie Adam na Jordan Henderson wakicheza ndivyo nakuwa na furaha hatukuwasajili.

Kuna mtu bado anafikiria SAF atafanya usajili mwingine? Honestly Macheda ni wa kuuzwa tu, Diouf inabidi apewe more playing time anaonekana kama mchezaji mzuri.
 
What about this milestone:

arsenal-49-games-unbeaten-453x340.jpg

Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee

Ubabe wa timu yoyote ulaya unapimwa kwa record ya timu kule UEFA champions league.
Arsenal hamna hata kikombe kimoja cha champions league. You are not even among the Europe's elites. Arsenal imekuwa ni academy ya watoto wakiiva tu timu kubwa zinakuja kuwakomba
 
The old song story khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee 21 years hawajachukua EPL and still counting the best league in the world.

Wazee Arsena wanatia huruma sana............duuhhh........... Arse 0 - Liv 2

Huruma ipi? Vipi mkuu unataka kuwasaidia mpunga nini? au unataka wanunue marefa na kutoa bahasha kama nyinyi? khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Jumatatu hii ya trh 22 Man u itaanza kibarua cha kutetea ubingwa kwa mechi yake ya kwanza...je watafanikiwa kuanza kwa kac tulozoea ama ndo kama Arsenal..
 
Jumatatu hii ya trh 22 Man u itaanza kibarua cha kutetea ubingwa kwa mechi yake ya kwanza...je watafanikiwa kuanza kwa kac tulozoea ama ndo kama Arsenal..
Uko dunia gani wewe,last week Manu alimfunga West Brom 2-1,game na Spurs ni game ya pili
 
Jumatatu hii ya trh 22 Man u itaanza kibarua cha kutetea ubingwa kwa mechi yake ya kwanza...je watafanikiwa kuanza kwa kac tulozoea ama ndo kama Arsenal..
Mkuu uko chini ya jiwe gani? Historically United ni slow starters sasa hiyo kasi uliyoizoea ni ipi?
 
Lineup De Gea-Evra-Evans-Jones-Smalling-Young-Anderson-Cleverley-Nani-Rooney-Welbeck
 
Back
Top Bottom