Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

nimetoka britanica stadium ... sijaona soka la maana kule zaidi ya butua , butua .... naja kwa watani old trafford .. habari zenyuuuuuu baaana!!!
 
Haya, wenye ligi yetu tunaanza mchakato now wa kuchukua vikombe....
Safarndio huanza hivi.
 
Huyu Anderson isingekuwa soka angekuwa pusha wa zile stuff Mexico to brazil, dogo yaelekea n toz balaa.
 
Hakuna kitu hapa Fungie si ndio alipanga ratiba huyu. Chacha mnategemea nini? Phew! Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ngoja wengine tuangalie golf kwanza mtatujuza matokeo.
 
Wacha1 na Mbu kujeni apa muwe mnahesabu magoli...tunawafungia na nyie, chelsea na looserfools.
 
Wacha1 na Mbu kujeni apa muwe mnahesabu magoli...tunawafungia na nyie, chelsea na looserfools.

MANDA !!!! Kwa hili goli moja ndo unakuja na maandishi kama haya????? haya may be tutaangalia another BOLTON Vs QPR.......
 
MANDA !!!! Kwa hili goli moja ndo unakuja na maandishi kama haya????? haya may be tutaangalia another BOLTON Vs QPR.......

Salama mkuu wangu kwanza...za masiku mengi.?
Ww unataka yafike mangap ndo niseme hivo?, aya na ww nakuongeza kwa listi, uwe unahesabu pia.
 
<font color="#800000"><font size="4"><b>Hakuna kitu hapa Fungie si ndio alipanga ratiba huyu. Chacha mnategemea nini? Phew! Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ngoja wengine tuangalie golf kwanza mtatujuza matokeo.</b></font></font>

Ulitaka tupangwe na nyie nn first fixture mchezee koki mapemaaaaa?

Et ukaangalie golf!?, acha kuzuga, najua una watch game tu apa..au kina kuuma tunapo wachabanga awa watt?
 
Bad news:Rafael da Silva ameumia bega atakuwa nje wiki 10
 
VDS anaangalia hii game???? nadhani atakua anajisemea kuwa Mrithi wake ni nnya kimtindo.... Anyway hakua Clean sheet kwenye hii game......1 - 1
 
Ulitaka tupangwe na nyie nn first fixture mchezee koki mapemaaaaa?

Et ukaangalie golf!?, acha kuzuga, najua una watch game tu apa..au kina kuuma tunapo wachabanga awa watt?

Kweli eeee!!!!!
 
Ulitaka tupangwe na nyie nn first fixture mchezee koki mapemaaaaa?Et ukaangalie golf!?, acha kuzuga, najua una watch game tu apa..au kina kuuma tunapo wachabanga awa watt?
Kinachonisikitisha Wenger kawakataza wachezaji wangu kupiga mashuti ya mbali lakini yangekuwa mengine kwenye mechi yetu inayokuja na huyu kipa wenu mpya.Kipa ukitungua goli lol.
 
Back
Top Bottom