Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pamoja na ushindi wa jana...binafsi bado sijaelewa Mourinho alitumia upeo upi kumuingiza Lingard ahead of Martial na baadae kumpatia Martial dakika 6 tu za kumalizia mchezo...ndio, Martial alibahatika kupata goli,lakini je ilikua sawa kumpatia nafasi finyu kiasi kile ukizingatia uwezo wake?
Mou anazingua nae sometimes na tactics zake... Martial , Herrera..wanaanziaje bench ?
 
Last season tatizo lilikuwa kutegemea mchezaji mmoja kufunga magoli,msimu huu wachezaji wote wameimprove kwenye ufungaji ndio maana mpaka sasa mechi 5 lakini tuna wafungaji 8 tofauti na kila mechi at least tuna wafungaji 2 tofauti wakiwepo midfielders & defenders

Defenders:Valencia,Baily
Midfielders😛ogba,Fellaini,Mikhi
Forwards:Lukaku,Rashford,Martial
 
Mou anazingua nae sometimes na tactics zake... Martial , Herrera..wanaanziaje bench ?
Last season hata Mikhitaryan alikuwa anapigwa bench nafikiri unaona kwa nini msimu huu hapigwi benchi ,

Herrera alikuwa the best United player msimu uliopita,kocha amemsajili Matic ambaye ameleta balance kubwa kwenye timu na amewafanya kina Pogba,Fellaini,Rashford,Martial kucheza kwa uhuru zaidi tofauti na Herrera,kiwango anachoonyesha Matic hakuna mchezaji wa kumpiga benchi

Pogba ameumia huenda akarudi baada ya wiki 6/8
still bado kuna mechi ambazo Mourinho atachezesha viungo 3 so Herrera atapata nafasi ya kucheza
 
41ae12e1eea96023b2720e09018943d1.jpg
Hahahaaaa.. Utasikia tu
 
Daaa lukaku siyo clinical finisher wandugu manake ni game yake ya kama ya NNE hivi anakosa goli LA wazi kabisa. Na hapo anakutana na defenders ambao ni average. Je akikutana na best defenders Wa timu kubwa atapata hizo nafasi za kizembe? Na hapo ndo itapokuja ile ishu ya Lukaku kuendelea kufunga timu ndogo tu.
 
Kama unaamini mpira ni mchezo wa makosa basi hakuna kumjaji lukaku ukizubaa anakufunga aliwahi kutupiga goli nne huyo wakiwepo wakina vudic na ferdinand
 
Back
Top Bottom