Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Hii table inasema mengi sana.
Kuanzia timu ya 10 hawana positive GD.
Timu ya kwanza na ya pili ina GD 14 anaefuatia ana GD ya 3, just imagine.
Hii inaonesha jinsi gani striking force ya timu za Manchester zilivyo na striking force kali sana. Ukizubaa unakula mkono bila huruma.
Kwa mwelekeo wa sasa, sioni timu yeyote pale yenye uwezo wa kuzisumbua timu za Manchester.

