Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Yah droo na Stoke imetupoteza......hawa jamaa wakiamua kupiga wanapiga haswaaa!!!! Huwa hawarelax kwa vigoli 2Naona majirani wamejipigia za kutosha, kesho tunatakiwa kushinda goli 5+ hili turudi pale juu.

Jaribu kuweka akiba ya maneno.My prediction for tomorrow game
Manutd 4-0 Everton
Wanashambulia kwa kasi sio mchezoMajirani hawana mchezo kabisa linapokuja suala la kufunga goli nyingi..... Inabidi tuache kosa kosa tufunge kweli maana city anatishia amani sio kwa vipigo anavyotoa.