ila tukija kwenye cleansht na kombe lingekuwa linatolewa leo ingekuwaje...Mechi 5 points 13, win 4 draw 1......sawa kabisa na Man City....nafasi ya 2 alphabetically..... Najua unajua basi tu![]()
![]()
Asante mkuu. Nilitaka kuwaona na buluziMechi 5 points 13, win 4 draw 1......sawa kabisa na Man City....nafasi ya 2 alphabetically..... Najua unajua basi tu![]()
![]()
Bado hamjakutana na Burnley nyie.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ila hongereni bhana
Ila role ya Pogba kudrive timu ni kubwa. Tulipwaya to be sincere na tulim-mis
My prediction for tomorrow game
Manutd 4-0 Everton
Asante mkuuu
Tuko sawa kila kitu mkuu, sema kialfabeti wao ni c sisi ni uMan City anatuzidi magoli ?
Naomba kuuliza, hivi mfano leo ingekuwa ndio mechi ya mwisho kombe lingetolewa kwa nani kati ya mu na mc?
Kwanini?City
Kwanini?
na kwa taarifa yako united asingeshinda goli nneNaomba kuuliza, hivi mfano leo ingekuwa ndio mechi ya mwisho kombe lingetolewa kwa nani kati ya mu na mc?