bombei_safaya
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 311
- 287
Picha ya GREAT MOU jamani wakati anampa legend mkono mana tukio lile limenikosha mpaka basi kweli kocha tumepata tupunguze nongwa tu
Ongera Man u mwendo wa dozii....
Swali hili kalijibu kipindi kile wakat yupo kwa mabwege Chelsea kumbuka drogba alinyang'anywa mpira na lampard wakat ye alikuwa anataka ufungaji bora na kwa hasira lampard akaweka penalty moja ya kibabe mnoNinachojiuliza ni kwanini Lukaku hakuchukua penalt??
Hakukosa bhana ila refa alikosea mana kipa aliwahi kutoka katika mstari kabla ya kipyenga kupulizwa,Ila uzuri wa kocha wetu hatabirki we angalia hata sub alizofanya hakuna hata shabik1 aliyetarajia mana kwenye maziwa ye katia Nazi ya bakhresa na kwenye Alma's katia viooKuna match alikosa penalt, sasa naona atakuwa kaingia woga.
Ila naona young anataka kumuweka blind bench aisee maana anaupiga sanaaa...
Westham 1
Man utd 1
Everton 1
Westham 0
Swansea 0
Everton 0





Wote wapo kwenye ubora na uimara natamani kuwaona wakicheza pamoja.Martial na rashford wanachanganya sana
Mashabiki walikuwa sahihi.Lukaku alizomewa sana jana,Amenifurahisha alivyoanza kushangilia kabla yay goli (penati ya Martial).
Sure pamoja na kwamba alizngua nimemsifu kwa kujiposition sehem zenye bahati.Mashabiki walikuwa sahihi.
Lukaku anakosa nafasi nyingi sana mwanzoni mwa mchezo, kabla ya ku-assist na kufunga goli.
Leo nilikuwa namsikiliza Jose mourinho.Anasema hivi
" timu ilipoteza nafasi nyingi mwanzoni, baada ya kipindi cha kwanza nilitegemea kutoka sare ya 1-1 na everton"
"Lakini kipindi cha pili timu ilibadilika na mimi nikaona tunaweza kushinda 2" .
"Goli la 3 na la 4 ni magoli ya bahati, sikutegemea magoli hayo na kwangu sio ya msingi sana. Yale mawili yaishatosha"
Hahaaa! Jose bhanaa..
Sure pamoja na kwamba alizngua nimemsifu kwa kujiposition sehem zenye bahati.
Mimi nimegundua lingard hafanyi makosa sana pale mbele kama rashford ingawa general rashford ni bora kwakeMartial na rashford wanachanganya sana
Pamoja na ushindi wa jana...binafsi bado sijaelewa Mourinho alitumia upeo upi kumuingiza Lingard ahead of Martial na baadae kumpatia Martial dakika 6 tu za kumalizia mchezo...ndio, Martial alibahatika kupata goli,lakini je ilikua sawa kumpatia nafasi finyu kiasi kile ukizingatia uwezo wake?
Mashabiki wengi walikuwa hawamwelewi Mourinho kwa nini anampanga Fellaini leo wamekaa kimya wanamsifia Fellaini huenda kuna siku utaelewa na kumsifia kocha kumchezesha Lingard.Martial ana kipaji sana lakini ndio mchezaji mwenye workrate ndogo sana pale UnitedPamoja na ushindi wa jana...binafsi bado sijaelewa Mourinho alitumia upeo upi kumuingiza Lingard ahead of Martial na baadae kumpatia Martial dakika 6 tu za kumalizia mchezo...ndio, Martial alibahatika kupata goli,lakini je ilikua sawa kumpatia nafasi finyu kiasi kile ukizingatia uwezo wake?