Ina maana mpk ss, n game ya stoke tu ndiyyo 2mefungwa 2. Inachefua kiac, ngoja hiyo cku stoke analeta pua yake OT, mpk m.a.v.i yaning'inie kwenye pens zao
Sent using Jamii Forums mobile app





GGMUBig fella katupia na katoa pande khalafu mipira mingi sana aliiidhibiti khasa ya juu kwa ujumla alikuwa mzuri.
Big fella katupia na katoa pande khalafu mipira mingi sana aliiidhibiti khasa ya juu kwa ujumla alikuwa mzuri.
Stoke unataka kumfanisha na baselGame ya stoke city tulikosa mtu kama fellain au zlatan ibrahimov jana mourigho wakat anahojiwa kasema pia kumuingiza fellain ni kwa kuwa fc basel walikuwa wa 5 ndani ya box ilitakiwa pawepo mtu wa hewani.
Stoke unataka kumfanisha na basel
Stoke ni hatari wewe mlikaa wenyewe
Huyu jamaa, ni balaa sanaFelle