Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

manchester united ndio timu pekee duniani ambayo wachezaji wake wanawania kuanzia benchi kwenye mechi.
  • lord fellaini akianzia benchi akiingia anabadilisha movement nzima ya timu
  • martial akitokea benchi anafunga magoli
  • rashford akitokea benchi anafunga magoli
  • lingard akitokea benchi ana assist magoli nina wasiwasi mechi ijayo martial na rashford watagoma kuanza kikosi cha kwanza kwa sababu kila mmoja atamtegea mwenzake hivyo basi jose mourinho anapaswa aende uwanjani na bakora kama mwalim wa madrassa.
rashfordmartial-cropped_1i9jzt6vzgiv51q4pnxp3r54y5.jpg
 
UNITED VS LEICESTER..Nilichokiona:-
1.Ilikuwa ni mechi NGUMU sana(yet)...jamaa walikamia na kuna kipindi walionesha walikuwa wanataka point moja tu warudi nayo kwao.

2.Kama nilivyosema last week..LUKAKU Anapaswa kuImprove/KujiUpgrade yani bado kuna vitu anavikosa aisee na ukizingatia UEFA CHAMPIONS LEAGUE inakuja..anahitaji UMAKINI,NGUVU na AKILI..Binafsi naona NGUVU ipo ya kutosha ila hivi vingine bado havijagikia kiwango kinachotakiwa..so akiImprove itakuwa poa sana..he's good.

3.Leicester walimfanyia man marking lukaku..yaan jamaa kama watatu walikuwa wanamkaba mtu mmojando maana alizidi kupotea uwanjani...ila hii ilikuwa ni fursa kwa players wengine kushine cuz km akili ya Leicester ilikuwa kwa MAIN STRIKER wetu,lkn haikuzaa "MATUNDA YA KUTOSHA"..narudia "matunda YA KUTOSHA"

4.Ni kweli kwamba PENALTY hainaga mwenyewe lkn LUKAKU alizingua kwny upigaji cuz ukiangalia slow-mo alimuonesha kipa kabisa napiga wapi! Na ukizingatia Schimichel ni kipa mzuri so haikuwa ngumu kuchomoa..

5.sina Imani na BLIND!!

6.Naamini tutarekebisha makosa madogomadogo na kuendeleza wimbi la ushindi..GGMU!!..GGMU!!

Ugiligili
Tabia ya kumpa mtu apige tuta ili kuongeza magoli sio nzuri..
Pale mpigaji mzuri ni Mkhtaryan,Mata au Herrera
 
manchester united ndio timu pekee duniani ambayo wachezaji wake wanawania kuanzia benchi kwenye mechi.
  • lord fellaini akianzia benchi akiingia anabadilisha movement nzima ya timu
  • martial akitokea benchi anafunga magoli
  • rashford akitokea benchi anafunga magoli
  • lingard akitokea benchi ana assist magoli nina wasiwasi mechi ijayo martial na rashford watagoma kuanza kikosi cha kwanza kwa sababu kila mmoja atamtegea mwenzake hivyo basi jose mourinho anapaswa aende uwanjani na bakora kama mwalim wa madrassa.
rashfordmartial-cropped_1i9jzt6vzgiv51q4pnxp3r54y5.jpg
Uchambuzi mzuri, unajua wengi walikuwa wanalalamika kuanzia Rashford badala ya Martial. Sasa kila mmoja atabaki kimya suala la nani aanze litaachwa kwa Fundi Mou
 
Nimeangalia hailaiti za OUSMANE BEMBELE, dogo anaonekana ni fundi sana, sijui kwa nini barcelona walikua wanang'ang'ania kwa coutinho, anastahili kununuliwa kwa ile hela kutokana na soko lilivo sasa, mou hakumuona yule dogo mpaka na yeye kung'ang'ana kwa perisic?

Sent using
Jamii Forums mobile app

Mkuu kuna rashford na martial hawa wanatosha sna pia tuna madogo kwenye academy kama angel gomes anahitaj kupanda bado perreira kifupi wapo wengi kaliba yake.
 
Back
Top Bottom