Karibu tushangilie ushindi.Hivi pogba bado yupo uwanjani au ameenda saluni kupaka hina?
Cute b nakusalimia
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi ligi imeshaanza au bado???
United is bae..
Karibu tushangilie ushindi.Hivi pogba bado yupo uwanjani au ameenda saluni kupaka hina?
Cute b nakusalimia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbupu...ha haTeh teh mkuu ulibana nini
Nimebana si mchezo na hili joto..haa haa haa we mrembo unavituko!
The teh unazo??Mbupu...ha ha
Pia mwambie asahau Fellaini kuuzwa...Sahau kuhusu fellaini kukosa namba mkuu...
Fellaini ni Ball destroyer kwa Taarifa yako.
Na mourihno anapenda sana viungo wanaokaba na kuharibu mipira ya wapinzani..
Sasa Matic, Herrera na Fellaini ni viungo wa staili hiyo...na mou hawezi kuwauza hata kidogo.
Tumeanza kupunguza idadi ya magoli.
Kutoka kushinda 4 mpk 2
Kitambo kidogo tutaanza kupunguza na point...
Sent using Jamii Forums mobile app

3⃣ games
3⃣ wins
9⃣ points
0⃣ conceded
No. 1⃣ in the @PremierLeague
Good times![]()
GOALS